Watu wana intelligencia kaliHa ha ha, watu mmesha ifanya JF kama kijiwe cha kahawa, hata wanaohitaji msaada wa ukweli wanaweza kukosa kwa sababu ya hizi stories za kutunga.
Waliosoma mchepuo wa PCB tukutane hapa
Maisha ya chuo raha kusoma mwisho alhamis ,ijumaa mpaka j pili tunakesha club
Ardhi, SUA na Muhimbili kipi chuo kigumu?
Nilidanganywa kumbe chuo hamna mademu
Muhas Hiyoo, Nasubiria tuu jina langu hapa
Msaada nataka ku appeal mitihani ya taifa
mbona umewaka hivyo mdada tatizo nini?HUYO LIONGOOOO HALINA LOLOTE NI LITEJA TU LINAVAMIA UNADHANI ELIMU NI KUJAMBA TU UKIJIBANA KIDOGO USHUZI UNATOKA
hahaaa ni noma sana Leo ameaibikaAiseee maisha matamu sana hasa ukiweza kujipangilia
Mm na wanangu kuanzia jumatatu mpaka alhamisi tunasoma kama hatuna akili timamu yani msuli heavy .

Ila babaa kuanzia ijumaa mpaka jumapili ni mwendo wa bataaa mwanzo mwisho yani bampa tu bampa

Na kufeli hatufeli
Course work inasoma furesh mm nimepata 70 ,mwanangu mwengine kagonga 62 ,mwingine 68 halafu mwingine 82

Lakini cha ajabu wale ambao wanakesha class wamelamba 45 ,wengine 50 na kitu wachache ndio wametukaribia <<<<<<<ACHA UONGO MARA CHUO MARA UMECHAGULIWA KIDATO CHA TANO UNA DIVISION ONE MIJITU MIONGO HUMU NDANI NDIYO MAANA HATA PICHA HAIWEKI INAOGOPA KUABIKA
Mkuu uko sahihi kabisaTukuelewejw mleta Uzi????
Waliosoma mchepuo wa PCB tukutane hapa
Huu Uzi wako na Uzi wa Leo tuchukue lipi?
Mwanzoni ulisema umesoma PCB halafu Leo unaleta matokeo ya kidato cha NNE???
ATA MIE NIMEHISI IKO KITUHUYU TAPELI HATA ELIMU HANA MSOMI HAYUPO HIVYO
Muongo huyombona umewaka hivyo mdada tatizo nini?
HR 666 muongo kabisa...Tukuelewejw mleta Uzi????
Waliosoma mchepuo wa PCB tukutane hapa
Huu Uzi wako na Uzi wa Leo tuchukue lipi?
Mwanzoni ulisema umesoma PCB halafu Leo unaleta matokeo ya kidato cha NNE???
Mmmmh....si ulisema unasoma ARU wewe na ukasema kuanzia j3 hadi Alhamisi wasoma then ijumaa hadi j2 club?uelewekaje?Wakuu hatimaye nimefaulu kujiunga kidato cha tano kwa kupata division one ya point 10
Matokeo yangu ni kama ifuatavyo
Phys =B
Chem =A
Maths=A
Bios=A
Geog=D
Eng=C
Kisw=B
Hist=A
Civ=C
Nishaurini kati ya PCM au PCB niende wapi maana kote naskia ni pazuri
Wapi ni rahisi kufaulu kwa matokeo ya form 6?
Pia nahitaji mniambie tuishen nzuri hapa dar nataka jumatatu nianze rasmi kusoma tuisheni
Chuki ganiAcha chuki
Hii akaunti yako ya Pili?mbona umewaka hivyo mdada tatizo nini?
We jamaa utakuwaa muuza madawa na kama jina lako halipo central basi ni bahati mbayaWakuu hatimaye nimefaulu kujiunga kidato cha tano kwa kupata division one ya point 10
Matokeo yangu ni kama ifuatavyo
Phys =B
Chem =A
Maths=A
Bios=A
Geog=D
Eng=C
Kisw=B
Hist=A
Civ=C
Nishaurini kati ya PCM au PCB niende wapi maana kote naskia ni pazuri
Wapi ni rahisi kufaulu kwa matokeo ya form 6?
Pia nahitaji mniambie tuishen nzuri hapa dar nataka jumatatu nianze rasmi kusoma tuisheni
Niende PCM au PCB ?Ww huna malengo! Hufai kuendelea
Niende PCM au PCB ?Ww huna malengo! Hufai kuendelea
Kashadakwaa..ah ah ahTukuelewejw mleta Uzi????
Waliosoma mchepuo wa PCB tukutane hapa
Huu Uzi wako na Uzi wa Leo tuchukue lipi?
Mwanzoni ulisema umesoma PCB halafu Leo unaleta matokeo ya kidato cha NNE???