Niende PCM au PCB ?

kiongozi acha chuki binafsi na mchepuo a PCM watu wanagonga engineering na wanapata ajira vizuri tu....acha kukariri

Eti samahani, wewe ni mhaya ama

Huyu dogo anapenda sana kudhani anaaweza sumbua akili za watu, achaneni nako

Jinga,yani Una one alafu unauliza maswali rahisi hivyo????

Miaka 24 unamaliza kidato cha 4! Kwa private candidate au? Hata huko cjui MUHAS naanza kukutilia mashaka we utakuwa jitu zima hovyo tu hausomi wala nini!

unataka kuwa nani baadaye kama unapenda masuala ya afya kozi zote nenda pcb kwaa kozi za engineering soma pcm ingawa ata pcb anaruhusiwa kusoma kozi za uhandisi : kombi zota ni nzuri na kazi zake zinaigiliana katika kuomba vyuo ingawa pcb anasoma masomo memngi kuliko pcm namaanisha bam kama somo linloongezeka kwa upande wake

HUU MTANDAO UNA MAMBO MAANA LEO MTU ANAJITAMBULISHA MWANAFUNZI, KESHO MFANYAKAZ BENK, MARA YUPO SINGO IKITOKEA MADA YA NDOA ANAKOMENTI KUHUSU MKE ALIENAE BASI NAWAOMBA MUWE NA UNIFORM CODE YA UONGO.

KWENYE MADA SASA
SINA HAKIKA KAMA MTU ALIEPATA DIVISION ONE YA KUMI AKASHINDWA KUJUA NI NINI ATAENDA KUSOMEA TENA HIKI KITU KINAKUJA KUFAHAMIKA KABLA HAJAFANYA MTIHAANI KWAHIYO WEWE ACHA KUCHEMSHA WATU UBONGO INA MAANA HAUJUI NDOTO ZAKO NI ZIPI?

UNAKUMBUKA ILE POST YAKO YA KUSEMA UMESHINDWA KUWA EXILED? SASA LEO UMEBADILI UHUSIKA PALE ULIKUWA MWANACHUO SASA HIVI UMEMALIZA FORM FOUR

Tukuelewejw mleta Uzi????
Waliosoma mchepuo wa PCB tukutane hapa
Huu Uzi wako na Uzi wa Leo tuchukue lipi?
Mwanzoni ulisema umesoma PCB halafu Leo unaleta matokeo ya kidato cha NNE???
Huyu anaonekana ana upungufu wa akili...si ndo alisemaga ban ya hf imempa A+ mara anasoma ARU

Aiseee maisha matamu sana hasa ukiweza kujipangilia
Mm na wanangu kuanzia jumatatu mpaka alhamisi tunasoma kama hatuna akili timamu yani msuli heavy .

Ila babaa kuanzia ijumaa mpaka jumapili ni mwendo wa bataaa mwanzo mwisho yani bampa tu bampa

Na kufeli hatufeli
Course work inasoma furesh mm nimepata 70 ,mwanangu mwengine kagonga 62 ,mwingine 68 halafu mwingine 82

Lakini cha ajabu wale ambao wanakesha class wamelamba 45 ,wengine 50 na kitu wachache ndio wametukaribia <<<<<<<ACHA UONGO MARA CHUO MARA UMECHAGULIWA KIDATO CHA TANO UNA DIVISION ONE MIJITU MIONGO HUMU NDANI NDIYO MAANA HATA PICHA HAIWEKI INAOGOPA KUABIKA

HUYU TAPELI HATA ELIMU HANA MSOMI HAYUPO HIVYO

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…