Nenda PCB,,,, Dogo,,,,, yan magoli uko,,,,,pcm nenda kama una ndugu yako wa kukuunhanisha,, vngonevyo utasota,,,,,, au kama una ndoto ya ualim poa, ndo upge pcm coz iyo comb ualim ndo fasta
Nenda PCB,,,, Dogo,,,,, yan magoli uko,,,,,pcm nenda kama una ndugu yako wa kukuunhanisha,, vngonevyo utasota,,,,,, au kama una ndoto ya ualim poa, ndo upge pcm coz iyo comb ualim ndo fasta
Ukisoma PCB hutoweza kusoma Engineering and the like. Ukisoma PCM, hutoweza kujiunga Medicine. So deep down in your heart, fikiria unachotaka kuja kufanya huko mbele ya safari. Za kuambiwa changanya na za kwako. Usifuate mkumbo wa watu wengi.
Tukuelewejw mleta Uzi???? Waliosoma mchepuo wa PCB tukutane hapa
Huu Uzi wako na Uzi wa Leo tuchukue lipi?
Mwanzoni ulisema umesoma PCB halafu Leo unaleta matokeo ya kidato cha NNE???
Uaisome hizo hela wakupe ufanyie biashara kwa muda wa miaka miwili utakua umepiga hatua,na ile miaka mitatu,minne,na mitano chuo ukikazana kwenye biashara utakua tajiri hata utakaomaliza nao hawatakupata