moto2012
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 2,303
- 1,530
Wadau samahani, najua leo ni siku ya kazi! Nimeangukiwa sijui niseme na bahati ya mtende au balaa!Saa 10 usiku wa leo mrembo mmoja ambaye nimemsotea zaidi ya miaka 3, kanitumia sms kwa WhatsApp just hi, nkaanza kuchat nae, nikampleka peleka peleka amenipa apointment ya saa 4 Asubuhi hii kwenye kigrosari flani hapa Town.
Mdada ni mtata flani, kwa kuwa ghafla nimeshindwa kumwambia kuwa nataka kumla, ila chating yetu ilikuwa inaelekea huko.
Utata ni kipi nikipe kipaumbele, hela au kondom? Au vyote? Kisema ukweli mimi ni bahili, nikienda na hela nikahonga na kama sikumla nitakuwa nimepata hasara, na nisipokuwa na hela akikubali nitamlaje manake miaka 3 si haba sijui analiwa na nani?