Nieleweshwe

ngwesa

Member
Jan 27, 2012
24
1
Naomba nieleweshwe jins ya kujb ujumbe zenu kwa sababu nakosea sana, ninapo tuma ujumbe haundi kwa muhusika unakuwa out
 
Kweli unahitaji msaada... nimeona umesha chemka kwenye thread ingine.
 
Ndo tatizo kujua computer ukubwani pole taratibu utaweza usikate tamaa boronga hivyo hivyo mwishoe safi
 
Kwani we unatumia simu au PC?
Kama ni simu unatumia Kitochi au Blackberry?
 
Back
Top Bottom