Nieleweshe asili ya neno tigo?

TIGO ni neno la kispania lenye maana ya YOU yani wewe
Nahutumika pale mtu analosema CON TIGO akimaanisha WITH YOU.
CON=WITH.
dah!! kumbe huwa tunaongea kihisipania bila kujuwa...lakini maana hiyo bado iko mbali na maana ya mtaani tunayotumia
 
k
KERO kweli kama unaongea na watu alafu unaanticipate watafikiria nini lazima uyayushe maneno.
kama ni hivyo basi linaweza kutoholewa na kuingizwa kwenye kamusi.litumike rasmi??
 
ila
 
aisee asante sana kwa maelezo hayo nimeelewa sasa....kumbe limekuja kwa kuaksi matagazo yao ya kuvaa wigi na madira.....safi sana...
 
k

kama ni hivyo basi linaweza kutoholewa na kuingizwa kwenye kamusi.litumike rasmi??
Ndio ila endapo litakubalika katika matumizi ya kila siku....sema kwa ninavyofahamu hilo neno wengi hawalipendi mapokezi yake si kama ilivyo kwenye neno la kiingereza nilipendalo. f*ck Yani hilo neno kokote pale linarhyme! mmarekani akikosa neno lazima atumie hilo neno. Iwe ni kwenye furaha, karaha au hisisa yoyote ile.
 

Attachments

  • 1469122420815.jpg
    14.1 KB · Views: 51
Reactions: lup
ngoja watu waliboreshe tu nalo litapata kibali
 
t
tumejibiwa tayari...
 
Angalia logo ya tigo herufi o inawakilisha hilo tundu
 
Reactions: lup
Watu wamezoea tu kuita majina ya vitu vingine kwa maana nyingine. Hata wale askari wanaofanya doria kwa pikipiki wamekuwa wakiitwa tiGo au maeneo mengine huitwa vodafasta
 
Kauli mbiu yao ya 'inakupa zaidi' ndiyo iliyoleta jina hilo,mwanamke akikupa huko kakupa zaidi,na nadhani ilikua 2006 au 07 ndo jina lilianza
 
kaulimbiu yao ya 'inakupa zaidi' ndiyo iliyoleta hilo jina,dem akikupa hilo 'tundu' anakua kakupa zaidi ya wengine,lilianza 2006 au 07
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…