lup
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 2,514
- 2,732
- Thread starter
- #21
dah!! kumbe huwa tunaongea kihisipania bila kujuwa...lakini maana hiyo bado iko mbali na maana ya mtaani tunayotumiaTIGO ni neno la kispania lenye maana ya YOU yani wewe
Nahutumika pale mtu analosema CON TIGO akimaanisha WITH YOU.
CON=WITH.