Official Ric
Member
- Jun 20, 2024
- 56
- 95
Tuendelee kuchapa kazi kulijenga Taifa.....
MImi naona Kuna shida kwenye system ya vyeti vya kuzaliwa na Nida mfano taarifa zote zinazopatikana kwenye NIDA Zipo kwenye vyeti tena nida iko na Tarifa nyingi na za muhimu kuliko NIDA ss kwa nini kila ofisi ya serikali utakayoenda wanatak cheti cha kuzaliwa na nida kwa pamoja hivi huwa wanataka kudhibitisha nini kwa nini vyeti vya kuzaliwa vingetumiwa na watoto walio chini ya miaka kumi na nane afu kuanzia miak 18 watumie nida na nida ziwe zinatolewa mashuleni kwa wanafunzi waliotimiza miak 18
Hii itapunguza mlundikano wa vyeti na pia kama watawek nida basi itumkke mfumo kma wa kusajili lain kma unatak huduma fulan itakayohitaji kutumia nida basi utaweka alama za vidole afu inakuj sura yako anacofirm mtoa huduma kama ni ww au lah...
Siyo kila sehemu ambatanisha cheti cha kuzaliwa na Nida nakati taarifa ndo zile zile mfamo hta kweny kuomba ajira watatak cheti cha kuzaliwa na Nida nkti nida iko na Taarifa zote
labda wajuzi wa mambo mtuambie tujue .......
SAmahani kwa maandishi marefu