Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,836
- 93,625
SawaNow tuko kwenye uchumi wa katikati
SawaNow tuko kwenye uchumi wa katikati
Kwa hisani ya NECJeipiimu mitano tena
wakichaji zitakuwa nzuriNIDA huduma zenyewe mbovu mnachaji kwa huduma ipi?
Watasababisha wananchi wachajiwewakichaji zitakuwa nzuri
Wapumbavu sana haonchi ngumu sana hii kwa kweli.
Polisi nao watalipa NIDA wakitaka taarifa za mtu fulani?
POLISI LOSS REPORT TUNALIPIA NA INAPATIKANA CHAPCHAP ONLINE TOFAUTI NA ZAMANIWatasababisha wananchi wachajiwe
Inter governmental correspondences zinatakiwa kuwa bure,ili kuharakisha huduma
Maana yake uhamiaji wakichelewa kulipa bili,watafungiwa access,pasi nazo zitakua hazitoki
Kwanza kwa mujibu wa sheria NIDA si taasisi ya kibiashara,ndio maana vitambulisho bure
Wameshindwa kutoa vitambulisho,wanaingia kwenye kazi si zao
Kazi kubwa ya NIDA ni kutoa vitambulisho,na kuachia access ili maisha yawe rahisi
Kwa hiyo polisi wakimfuatilia muhalifu itabidi walipie?
Ndio si kupitia kodi zetu wanapewa fungu la kulipia NIDA mbona maji ,na umeme huwa wanalipia hizo huduma sembuse NIDA.Pesa hawatoi mifukoni mwaoWapumbavu sana hao
huduma gani NIDA wenyewe wa hovyohovyo tangu 2017 hadi leo watu tunafuatilia vitambulisho vya NIDA tunapigiwa tu kalenda,benki ukipeleka namba ya nida wanataka copy ya kitambulisho na watu hawanaHuduma nyingi zilipokuwa bure zilikuwa mbovu mno sote mashahidi.maji bure cock tu ikaharibika bomba la jumuiya unaambiwa usubiri bajeti ijayo sababu fungu hamna
Heri tulipie zipatikane haraka wasiwe na visingizio.Cha muhimu bei ziwe affordable
Waunge taasisi nyingi kadri inavyowezekana na taasisi si lazima ziandikiwe mfano kuna nyingi unaulizwa uraia ungeni mfano sasa hivi vyama vya siasa viko michakato ya wagombea maswali ya taarifa kama za NIDA yatatakiwa .VYAMA vya siasa vijiunge au waungwe kwa nguvu isiwe hiari
Kwa nini NIDA na isiwe uhamiaje au huko kwenye taasisi?POLISI LOSS REPORT TUNALIPIA NA INAPATIKANA CHAPCHAP ONLINE TOFAUTI NA ZAMANI
Hizo pesa taasisi watakazolipa NIDA ni kodi zetu hamna shida na hawawezi kwama
Kodi ndio msingi wa maendeleo,acha woga kijanaSijaelewa hili la NiDA! kwa mwendo huu tutaanza kulipia direct kodi ya barabara mbali ya indirect tax kodi na kodi ua kichwa mbioni.