Nicodemas Maganga, Mbunge wa Mbogwe ataka Kisukuma kiwe Lugha ya Biashara Tanzania

ngebe

JF-Expert Member
Jun 8, 2020
1,789
5,105
Mbunge wa jimbo la Mbogwe Nicodemas Maganga, amesema Tanzania inabidi ichague lugha kutoka kwenye kabila moja hapa nchini ikiwemo Kisukuma kwa ajili ya kuiweka kwenye system itakayopelekea Wachina ama Wazungu watakapokuja nchini waisomee na itumike katika biashara.

mbogwe%202.jpg

Mbunge wa jimbo la Mbogwe Nicodemas Maganga
Kauli hiyo ameitoa hii leo Mei 11, 2022, bungeni jijini Dodoma na kuongeza kuwa waangalie mifano kutoka mataifa mengine yanayotumia lugha zao hadi kwenye vyombo vya habari.

"Mimi ni Msukuma lugha yangu mkiipa nafasi mkaweka kwenye system, Kisukuma kikiingia kwenye computer Wachina watakuja kujifunza hapa, hata Wazungu wakija kwenye migodi yetu wakakuta Askari wanazungumza Kisukuma tu hiyo hali itawafanya wakisomee, lazima tukae tufikirie tunawachenga vipi kwenye huu ulimwengu wa kutafuta pesa," amesema Mbunge Maganga
 
Watu kama Hawa mama awafute kugombea msimu ujao..

Wamekunywa sumu ya ukabila
 
Hawa wasukuma hawa...ukiwapa madaraka kidogo mtihani
 
Kwa kweli mwendazake alituharibia bunge kabisa hatutakuja kumsamehe
 
Back
Top Bottom