Nico bambaga hatunaye

The Inquisitive

Senior Member
Oct 27, 2010
177
29
Mwanasoka wa siku nyingi aliyewahi kuchezea vilabu vya Simba na Yanga amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Lugalo.

Source: FULL SHANGWE

RIP Bambaga.
 
93861977.jpg

Kutoka kushoto ni:
Joshua Kilale, Ally Yusuph 'Tigana', Willy Mtendawema, Fomu Felician, Keneth Mkapa, James Tungaraza, Suleiman Mkati, Said Mwamba 'Kizota' na Steven Nemes.

Waliochuchumaa kutoka kushoto ni:
Willy Martin, Mohammed Hussein, Nico Bambaga, Jose Ayoub, Sanifu Lazaro, Edibily Lunyamila na Sekilojo Chambua.
 
RIP Nico, utakumbukwa daima hasa kwa mchango wako katika soka la TZ, pole kwa wadau wa soka hasa wa vilabu ya Simba, Yanga na Pamba ya Mwanza!
 
Munge Amlaze Mahala Pema Peponi..........
.........What a player..... among others used to make my weekends by entertaining us with superb football
 
93861977.jpg

Kutoka kushoto ni:
Joshua Kilale, Ally Yusuph 'Tigana', Willy Mtendawema, Fomu Felician, Keneth Mkapa, James Tungaraza, Suleiman Mkati, Said Mwamba 'Kizota' na Steven Nemes.

Waliochuchumaa kutoka kushoto ni:
Willy Martin, Mohammed Hussein, Nico Bambaga, Jose Ayoub, Sanifu Lazaro, Edibily Lunyamila na Sekilojo Chambua.

Kikosi maridhawa kabisa hiki cha Yanga. Nico utakumbukwa daima kwa uwezo wako mkubwa uwanjani! RIP
 
93861977.jpg

Kutoka kushoto ni:
Joshua Kilale, Ally Yusuph 'Tigana', Willy Mtendawema, Fomu Felician, Keneth Mkapa, James Tungaraza, Suleiman Mkati, Said Mwamba 'Kizota' na Steven Nemes.

Waliochuchumaa kutoka kushoto ni:
Willy Martin, Mohammed Hussein, Nico Bambaga, Jose Ayoub, Sanifu Lazaro, Edibily Lunyamila na Sekilojo Chambua.

Dah.....RIP Nico

Hivi katika hiyo picha........ni akina nani ambao hatunao tena
 
Raha ya Milele umpe Ee Bwana,na Mwanga wa milele umwangazie,Apumzike kwa Amani.
 
Back
Top Bottom