Nick wa Pili bado ana ushamba fulani hivi wa kishule shule

Hapo vip!!
Binafsi mimi ni mtu wa Arusha, ila Nick wa pili sijawahi kumkubali kabisa.

Kwanza hatua aliyofikia kuikosoa Biblia kisa Mwanamke, ni kumkosea muumba wake na kuwakosea wakristo wote Duniani.

Nick2,wakati anamvalisha Mchumba wake pete ambapo ni jambo jema kabisa.
Baada ya tukio hilo akasema sio kweli kuwa mwanaume ndio wakwanza kuumba na Mungu ila imeendikwa hivyo kwasababu Bliblia imeendikwa na wanaume.Hivyo eti ni mfumo dume.

Yeye amefanya Wap utafiti akajua yaliandikwa kwenye Bliblia sio kweli, au ameshushiwa kitabu kingine na Mungu inayopinga na Bliblia? Kwa sababu hauwezi unatumia akili za music na banki kupinga Bliblia.

Huyu jamaa binafsi sijawahi kumkubali, huwa namuonaga mshamba fulani hivi,kwa namna alivyo ikosoa Bliblia ni kiwango cha akili ya watoto wa form Two wanao balehe.

Huyu anajionaga smart kuliko Kila mtu..huu ni ushamba, angekuwa angekuwa smart kuliko Kila kitu angegundua Kila kitu ndege, magari, simu n. K...
Nasishangai wakatokea wafuasi wake, kwasababu katika jambo lolote liwe la kipumbavu au la maana, lazima linawafuasi, mfano hata nabii Tito alikuwa na wafuasi kindaki ndani, lakini mwisho wa siku nabii Tito alikuja kuokoka, akakiri upumbavu na Uovu wake, lakini kumbuka katika upumbavu alikuwa na wafuasi.
Sio we we tu...machalii wengi wa Chuga hawamkubali huyu mbwira.

Nicki ana ndugu yake (wa mama mwingine) huko sanawari ama Ilboru wamefanana kama mayai...Jamaa yuko vizuri sana
 
Back
Top Bottom