Mange kabakiza siku kama 42 hivi ikiwa hatoomba Msamaha kwa Sheikh wa Dar

Bill Lugano

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
1,186
6,402
Nakumbuka sheikh mkuu wa mkoa wa DSM alitangaza hili. Kuwa amempa mangi kimambi mwaka huu baada ya hapo wasilaumiane.

Mimi nmejaribu kumfuatilia huyu mangi kimambi nmegundua kuwa amekuwa akipenda adui wake yeye awe public enemy.na rafik yake yeye awe public friend.

Nmeona jinsi ambavyo alipokuwa akimpamba wema na alipokuja kugombana naye anafanya juhudi sana za kumkuza mobeto.

Binafs mange,mobeto,wema wote ni aina moja. Wanawake wasio na brain kichwani.of course hawawezi kosa wafuasi.maana hata kibwetere alipata wafuasi, nabii tito alipata wafuasi.sababu binadam hatupo sawa.

Ukitaka kujua mangi kimambi hana akili soma kwenye post zake ujue alikosa malezi mazuri na pia hakutaka kujipatia malezi mazuri.na ndo jamii kubwa ya watanzania.ndo maana leo hii angekuwepo malcom x au martin luther king tanzania angekuwa na followers wachache ukilinganisha na mange au amber ruti.

Kwa nini? Jamii ya kitanzania iliyopo sasa ubongo haufanyi kazi kabisa.elimu hamna jamii inapenda habari za kidaku,umbea na uchafu.ndo jamii zinazoweza mchagua kibajaji awe mbunge.unadhan itashindwa mchagua mange au amber rutu kuwa mbunge?

Mwaka huu ndiyo alipewa kuwa amwombe radhi sheikh wa mkoa ama sivyo atashughulikiwa. Zimebaki siku takriban 40- 43 kama sikosei.
 
Hilo sheikh sound tu hata asome nini hakiwezifanya kitu.....mzee wa upako nae alimpaga ney wa mitego biti za hivi hakuna kilichotokea...
 
Mungu haui na Mange siyo hana akili fanya utafiti .kwani umetumia akili za kidato au chuo mkuu kutafiti.
 
Mwache mange awaanike watesi wetu waliojipa mamlaka ya Israel ,hayo ya shekhe wako mnafiki yule peleka kwa bashite,yaaani unamfanisha mange na lusinde we kweli hamnazo ushaona wapi mgogo ana akili ?
 
Kuna mtu alinipa angalizo kuwa JF ukiandika uzi wa kumsema mangi kimambi haukai.unaondolewa au utaenda fichwa sehemu. Inahisiwa kuwa ana ubia na watu flani.mi sijui.naandika
Kwa nn ume husisha JF na Mange Kimambi?
Ngoja tuone hiyo miujiza ya Sheikh wa Mkoa wa Dar Es salaam......
 
Back
Top Bottom