Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,343
- 26,902
Kama haujui huko ndiko kuzuri kupigia kampeni ya urais, tanguliza pesa kwa kisingizio cha mikopo.Huwezi kuona Biden akienda kwenye show za wapuuzi kama hawa
Booom baramba boom barama like a supa bezi 😂😂😂😂nimekukoti kwa huu wimbo sikuwai kuuelewa ila ana manyimbo mengi makali.Moja ya ngoma yake nayoipenda ni ile ya your love.
Babbadooo..Yu gaspa yu yu gaspa...Dah noma sana . Kitu kama hujui inakuwaga kituko sanaBooom baramba boom barama like a supa bezi 😂😂😂😂nimekukoti kwa huu wimbo sikuwai kuuelewa ila ana manyimbo mengi makali.