madia madia
JF-Expert Member
- Sep 30, 2017
- 717
- 701
Huyo bint unamuonea Huruma sana lakini kwa Maelezo yako anaonekana si muwazi na kuna kitu anaficha. Mahusiano hayahusiani na tukio la mwaka 47. Huyo sio nakushauri tafuta mwingine atakupotezea muda na hizo kalenda. Chunguza vizuri kama ni kweli msaidie au mshauri amwachie Mungu atahukum. Unapigwa fix nahisi jombaa. Kuwa makini.....