Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,611
- Thread starter
- #121
Naona hamjaelewana huyo Mchina amekwambia yupo Le Grand Casino na amekutumia location kabisa,
Hajakwambia kua uende kwake,
Kama huna hela ni heri ukae tu maana Casino sio sehemu ya kwenda kushangaa wenzio kule ni kutumia pesa,
Huyo Mchina atakua ni Muhudumu hapo Le Grand Casino.
Ipo maeneo gani hii casino