Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Unataka tumpoteze kijana?😅Zali hilo wacha akawakilishe taifa
Unataka tumpoteze kijana?😅Zali hilo wacha akawakilishe taifa
Daah akienda kupotea huko nitammiss adi nahisi nitakondaUnataka tumpoteze kijana?😅
Huna ubavu wa kujipigisha banDepal unataka nipewe ban au?[emoji23]
Potelea pote hata akikatwa puaLeo una hela? [emoji23][emoji23]
Nenda ukakatwe pua huko
Pendaga tu miseleleko kisa umeona kamtu ni kazungu
Sijaona namba yake ya Mpesa, mwambie anitumie nimrushie 🤪Mpe hela
Huoni pale kasema hana nauli
You dont have money?Hellow
Jana wakati natoka ibadani nilikutana na huyu mtu pale victoria tukachange number sasa nilimpoteze chaa ajabu kanitafuta telegram alitaka niende jana nikagoma ila anafosi niende leo ila nawaz je kama ni mke wa mtu?
Nichukue tahadhari gani ndugu zangu hapa View attachment 2527446
View attachment 2527447
View attachment 2527448
🤣🤣You dont have money?
Unaonaje ukitafuta pesa kwanza ndugu.
Angalia utabakwa na hela yabkujitibia huna
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]You dont have money?
Unaonaje ukitafuta pesa kwanza ndugu.
Angalia utabakwa na hela ya kujitibia huna
You dont have money?
Unaonaje ukitafuta pesa kwanza ndugu.
Angalia utabakwa na hela ya kujitibia huna
Ajiroge kwenda kichwa kichwa wakamkate korodan!! Jana tu na leo unamuaminije mtu kirahisiii hivo??? Ndiomana muda mwingine watu wanakufa vibudu!!Huu muda unaotumia kuandika humu saivi ingekuwa Tanzania tunaongoza bao 2 bila
Nenda uwakilishe Nchi kijana 🤪
UpoHuu ndio uzinzi wa kati...
Basi hili nalo mkalitazame
Au nasema uongo ndugu zangu?
Usingecheka hii comment ningekupa af 3 saii saii😂🤣🤣
😂😂😂 kwani si kweli hana nauliUsingecheka hii comment ningekupa af 3 saii saii😂
[emoji23][emoji23][emoji23] kwani si kweli hana nauli
NdioKwahio unataka nichangia au? [emoji23][emoji23]
Ndio