Nichukue tahadhari gani hapa

Nichukue tahadhari gani hapa

Sina kabisa unafikili ngoja nisongeshe hapa
Sasa si umtafute tu mwajuma ndala ndefu chipsi yai kipaja unaenda kula mzigo.
Buku 20 nyingi unampa na 10 amlipe boda wake biashara imeisha .
Hao huwawezi watakupika Supu.
Katika dola 50-100 kuna hela ya dalali hapo ndo anakutumia message na picha.
Kwahiyo mpk unazama humo ndani kuna refa.
Biashara ipo sana Amsterdam na Berlin hiyo kule ni blonde tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]ahah mpaka mkuu www umesema ngoja nitulie
Usiogope mm kaka ako....
Mm tangu nikiwa mdogo nimekua na akili za wahenga 🤓🤓😊😊
Mara Moja Moja sio mbaya kujilipua....unaishi au kufurahia maisha kama hautoishi tena @ MY LAST Song by BIG SEAN
 
kanitafuta telegram alitaka niende jana nikagoma ila anafosi niende leo ila nawaz je kama ni mke wa mtu?
Acha uzwazwa weka full story uende uende wapi mboni unafunikafunika kuchota attention ya watu?

Kakuita nyumbani kwake, hotelini, lodge, au wapi?

Na kakuita kufanya nini kazi au kitu gani?

Usitufanye sisi mazuzu
 
Hahaha kabisa ulikuwa unatoka ibadani? Nyie ndo mnawapaga nguvu wavaa vinjiwa kuwatusi.
Ametoka kupakaa majivu leo kaja kuweka ushubwada wake,

Unapoandika story andika kwa kutulia sio unaandika km umefumaniwa au umewekwa bondi na Madon wanaouza Sembe Iran,
 
Back
Top Bottom