Nichukue tahadhari gani hapa

Nichukue tahadhari gani hapa

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,977
Reaction score
67,611
Hellow

Jana wakati natoka ibadani nilikutana na huyu mtu pale victoria tukachange number sasa nilimpoteze chaa ajabu kanitafuta telegram alitaka niende jana nikagoma ila anafosi niende leo ila nawaz je kama ni mke wa mtu?

Nichukue tahadhari gani ndugu zangu hapa
IMG_0614.png

IMG_0616.jpg

IMG_0618.jpg
 
Leo una hela? [emoji23][emoji23]
Nenda ukakatwe pua huko

Pendaga tu miseleleko kisa umeona kamtu ni kazungu

[emoji23][emoji23][emoji23] wazungu watamu asa ukiwapa show ya nguvu aha mbona visa unakatiwa chap

Ninyi tunawaachia wakina Mzee wa kupambani ndio anawamudu
 
Back
Top Bottom