Wizzdude
JF-Expert Member
- Apr 4, 2015
- 216
- 346
Kama Abdallah kumuita DullaAllex na runx si ndugu tuu, bali ni kitu kile kile kimoja. Yaani ni gari ile ile tuu, majina yalitofautishwa kwa sababu ya masoko
Ni sawa na wewe uwe na jina la nyumbani na jina la shule