Nichukue ipi kati ya IST na Corolla Runn X?

Runx Alex na Voltz zimekaa kibishoo sana ila Ist kwa uimara iko vizuri.Ist pia ina Stability barabarani manake ina uzito flani wa kutulia barabarani.Mfano umepata msiba tukuyu ama bariadi au kondoa kile kigari unaenda na unarudi bila kipengele na barabarani huyumbi yumbi.
 
Habari za jioni wadau
Kijana wenu nimejichanga changa sasa nataka kuachana na dala dala nilikua naomba ushauri katika izo gari mbili nichukue ipi?? Nazungumzia zenye cc 1490 kwenye aspects zote
Wasubiri na wale wa kukwambia hiyo hela zungushia biashara gari anasa 😆😆😆😆😆
 
Habari za jioni wadau
Kijana wenu nimejichanga changa sasa nataka kuachana na dala dala nilikua naomba ushauri katika izo gari mbili nichukue ipi?? Nazungumzia zenye cc 1490 kwenye aspects zote
Nadhani IST ni bora kwa sababu hizi. Spares ni nyingi sana, karibu kila duka wanazo. Ground Clearance ni kubwa kidogo ukilinganisha na Runx hivyo kuweza kuhumili mashimo. Fuel economy ni nzuri, engine ukubwa wake ni wa wastani na pia ni durable kama utaitunza, bila kusahau kuwa ipo spacious kuliko Runx. Naamini utaifurahia zaidi
 
Habari za jioni wadau
Kijana wenu nimejichanga changa sasa nataka kuachana na dala dala nilikua naomba ushauri katika izo gari mbili nichukue ipi?? Nazungumzia zenye cc 1490 kwenye aspects zote
Ushauri wangu achana na IST achana na RunX nenda kwa Spacio Newmodel utapata faida hizi.

Moja: ina nafasi ya kutosha ndani na boot kubwa ambalo unapata 2 child seat.

Mbili: engine yake ni kama IST maana zipo za 1490 cc lakin zipo za 1790cc.

Tatu: ni gari ngumu sana na inahimili mikiki maana ni tolea la Corola.

Nne: Ground clearance iko vizur ingawa zipo zingine zipo chini kidogo lakin zina nyanyuliwa na zinavutia.

Pia hata kimuonekano sio mbaya.
 
Runx Alex na Voltz zimekaa kibishoo sana ila Ist kwa uimara iko vizuri.Ist pia ina Stability barabarani manake ina uzito flani wa kutulia barabarani.Mfano umepata msiba tukuyu ama bariadi au kondoa kile kigari unaenda na unarudi bila kipengele na barabarani huyumbi yumbi.
Kwamba huo msiba wa Tukuyu ama Bariadi au Kondoa Runx Alex na Voltz hazitamudu kwenda na kurudi? zinaenda paso itakuwa mbavu nene kama voltz?
 
Hataki kubeba abiria amesema amechoka na dala dala so mwenyewe inamtosha
kama ana umbo kama la Piere Likwid au Dora na kama kweli hatobeba abiria hata iwe baba/mama/mke/mume/mtoto n.k basi achukue IST ila kama ana umbo la kawaida na kuwa ipo siku atabeba mtu mwingine basi aachane na IST
 
Hii ni sawa na kufanya ulinganisho wa chuma na kirungu.

Ndugu, Corolla runx/ Allex ni chuma , ni gari ambazo haziishi fashion na pia ni himilifu sana.

Spare parts zake ni nyingi kila sehemu zaidi sana hudumu kwa muda mrefu.

Corolla, ni miongoni mwa gari bora kabisa za sedan na hatchback kwa upande wa Toyota!!

Nikukaribishe uagize kutoka be forward kupitia EAPGS
 
Ushauri wangu achana na IST achana na RunX nenda kwa Spacio Newmodel utapata faida hizi
Moja: ina nafasi ya kutosha ndani na boot kubwa ambalo unapata 2 child seat.
Mbili: engine yake ni kama IST maana zipo za 1490 cc lakin zipo za 1790cc
Tatu: ni gari ngumu sana na inahimili mikiki maana ni tolea la Corola
Nne: Ground clearance iko vizur ingawa zipo zingine zipo chini kidogo lakin zina nyanyuliwa na zinavutia
Pia hata kimuonekano sio mbaya.
sahihi mkuu..hii spacio new model ni gari zur sana, sijawahi kujuta kulinunua
 
Mkuu mimi nimetumia allex kwenda rough road miaka zaidi ya 3 haijawahi kuleta shida yoyote service ni ya kawaida, allex ni ndugu na runx chukua chuma hizi au ukitaka kuongeza kwenye list basi weka premio model ya kati na spacio new achana kabisa na ist labda iwe new model.
 
Habari za jioni wadau

Kijana wenu nimejichanga changa sasa nataka kuachana na dala dala nilikua naomba ushauri katika izo gari mbili nichukue ipi?

Nazungumzia zenye cc 1490 kwenye aspects zote.
Voltz gari
 
Ushauri wangu achana na IST achana na RunX nenda kwa Spacio Newmodel utapata faida hizi.

Moja: ina nafasi ya kutosha ndani na boot kubwa ambalo unapata 2 child seat.

Mbili: engine yake ni kama IST maana zipo za 1490 cc lakin zipo za 1790cc.

Tatu: ni gari ngumu sana na inahimili mikiki maana ni tolea la Corola.

Nne: Ground clearance iko vizur ingawa zipo zingine zipo chini kidogo lakin zina nyanyuliwa na zinavutia.

Pia hata kimuonekano sio mbaya.
Mkuu hizi rumion unaziionaje ziko poa kumiliki ?
 
Mkuu hizi rumion unaziionaje ziko poa kumiliki ?
Rumion sio mbaya kwa sababu ni corolla family sema naiona ipo chini sana hasa show ya mbele wameivuta sana na ile dashboard kuwekwa kati kati mimi binafsi zijavutiwa nayo ila kwa ambae kwake hizo sio dosari ni gar nzuri tu.
 
Mkuu mimi nimetumia allex kwenda rough road miaka zaidi ya 3 haijawahi kuleta shida yoyote service ni ya kawaida, allex ni ndugu na runx chukua chuma hizi au ukitaka kuongeza kwenye list basi weka premio model ya kati na spacio new achana kabisa na ist labda iwe new model.
Allex na runx si ndugu tuu, bali ni kitu kile kile kimoja. Yaani ni gari ile ile tuu, majina yalitofautishwa kwa sababu ya masoko

Ni sawa na wewe uwe na jina la nyumbani na jina la shule
 
Back
Top Bottom