Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,111
- 9,540
Huo ndio ugaidi?H
Hivi unavosema Taliban wapo on power na hakuna kelele upo dunia gani.? Watoto wa kike hawasomi, wamefunikwa kama bangi, wanauchungu sana ila ukiongea wanakumaliza haraka sana.