Nichukie au Nipende Uislam wa itikadi kali ni Hatari kwa Usalama wa Dunia

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,311
4,018
Mujahedeen (Taliban)
Hezbollah
Hamas
Al-Qaeda
Al shabab
Boko Haram
I.S.I.S

Hawa ni radical islamist groups ambazo zimeleta maafa hapa duniani kwa kisingizio cha kutafuta haki.

Iran
Palestine
Labanon
Iraq
Yemen

Hizi ni baadhi ya nchi ambazo uislam wa itikadi kali umeleta athari kwa wananchi. Hakuna freedom of expression wala press, hakuna freedom of worship, kazi yao niku-fund terrorism and killings of innocent citizens ambao hawafati sheria zao kali.

Wanafundishwa kuwa adui yao ni mkristo, muyahudi na mmarekani, na kwamba ukimuumiza yoyote aliye wa aina hiyo basi utawekwa katika hadhi za juu za peponi.

Wanafundisha and kupandikiza chuki vijana wao ili kizazi cha hila na vinyongo kiendelee na ugaidi usiishe duniani.

Mwenye akili ambayo haina majini ya kupandikizwa chuki ataelewa.

Ambao mnatetea radical islamists kumbukeni waliyoyafanya ubalozi wa marekani 1998, usiombe yakukute, upuuzi wako utaisha.

Umeisahau Afghastani
 
WSikushangai kabisa.

Wewe umeminishwa hivyo na umeshajazwa uoga wa ujinga tayari, hakuna cha kukukombowa kwenye hilo ila ni wewe mwenyewe. Hiyo inaitwa "islamophobia".

Huo Uislam wa namna hiyo umeuona wapi?
Wajinga ndiyo waliwao.
 
Bwana wewe!
kiufupi uisilam ni dini ya hovyo kutokea hapa duniani.
Waislam wameleta maafa mkubwa sana.

Imagine hawa jamaa suala la kichinja tu linaweza kuamusha vita na hapo mfugo ni wako. Wanajiona wao ni wakipekee sana.

Nadhani hakuna watu wenye roho mbaya na katili kama warabu hapa Duniani. Kwa mantiki hiyo ndiyo wenye dini ya kislam.

Ukristo ni dini yenye amani japo inamapingufu yake pia sio kama hawa waislam kwenye suala la AMANI ni hopeless na Nonsense kabisa.

Kwetu hapa naona Islam ni wazuri kwenye kuoa na kuzika hawana complication. Chapu na haraka
 
Usisahau kuwa kuwa hivyo ujue Kuna reason behind ( too much oppression by oppressors)

Anyway.....

Mazingira ndio yanadetermine tabia Yako iwe vipi
No one oppresed the arabs, infact wao ndio walipigana vita ili walazimishe watu wafate itikadi ya kiislam, so by time after time uislam ukawa una change na matabaka, kuna watu wakawa itikadi kali sasq ndio leo wanasumbua dunia.

Sehemu kama israel wao ndio waliovamia israel under sultan saladin pia chini ya ottoman na wakajenga msikiti juu ya hekalu la daudi.

Acha ndugu radical islam ni watu wabaya sana na hata bongo wapo wanasubiria muda tu
 
Huwa nawaona hao watu ni kama wanasiasa au watu wenye uchu wa madaraka wanaosaka vyeo kwa kimvuli cha dini. Japo kuna wakati mwingine ni kama wanasaka haki na wakishaipata hiyo wanaanza kukandamiza haki za wengine kwa kutumia sheria kandamizi kwa mgongo wa dini.
 
Kwenye kuongelea udini mie najizimaga data, manake dini zote ni mapokeo na tukishajifanya kuzielewa sanaa twajiona wajuaji na kuanza kuona imani fulani ni zaidi ya nyingine
 
Kwenye ule uzi wa kuuwawa kwa Osama nilisoma sehemu Mohamed Hata aliyepanga mashambulizi la september 11 kuna siku alienda kumpokea kijana Airport.

lakini wakati huo Mo Hata alikua akienda Airport akijifunza kuongoza ndege za Airbus yeye na wenzie.
nikajua kumbe US walikua wakimpa hifadhi na mafunzo ya ndege.

baada ya shambulizi la september 11 Dunia ikabadilika kwenye swala zima la usalama na sheria kali za kudhibiti ugaidi.
 
Taliban ni Magaidi? Mzee unaelewa unachoongea?
HezbAllah ni magaidi? Unaelewa unachoongea mzee?
Umeandika sana for someone who knows too little.
Taliban wapo on power Saiv Afghan unaskia kelele?
Hezbollah ni chama cha siasa chenye millitary wing na wala sio kikundi cha kigaidi.
Ukienda Lebanon ukaongea ujinga huo utapondwa mawe.
Hamas wanaweza fall kwenye hilo kundi la magaidi sio 100%.

Boko Haram
Al shabaab
Al qaeda.
ISIS.
Hawa ndio magaidi, msichanganye vitu wazee.
 
Mujahedeen (Taliban)
Hezbollah
Hamas
Al-Qaeda
Al shabab
Boko Haram
I.S.I.S

Hawa ni radical islamist groups ambazo zimeleta maafa hapa duniani kwa kisingizio cha kutafuta haki.

Iran
Palestine
Labanon
Iraq
Yemen

Hizi ni baadhi ya nchi ambazo uislam wa itikadi kali umeleta athari kwa wananchi. Hakuna freedom of expression wala press, hakuna freedom of worship, kazi yao niku-fund terrorism and killings of innocent citizens ambao hawafati sheria zao kali.

Wanafundishwa kuwa adui yao ni mkristo, muyahudi na mmarekani, na kwamba ukimuumiza yoyote aliye wa aina hiyo basi utawekwa katika hadhi za juu za peponi.

Wanafundisha and kupandikiza chuki vijana wao ili kizazi cha hila na vinyongo kiendelee na ugaidi usiishe duniani.

Mwenye akili ambayo haina majini ya kupandikizwa chuki ataelewa.

Ambao mnatetea radical islamists kumbukeni waliyoyafanya ubalozi wa marekani 1998, usiombe yakukute, upuuzi wako utaisha.

View: https://youtu.be/NmNOc9ZwgDI?si=tF9P4bNHRWqz6U-2

Uko sahihi.
 
Extremism ya kidini ni mbaya sana .
Sanaa mkuu, haijalishi iwe ya kikristo au kiislam,

Kuna watu wanajifanya ni wafia dini kumbe wananufaisha mategemeo ya cult leaders wao.
 
Taliban ni Magaidi? Mzee unaelewa unachoongea?
HezbAllah ni magaidi? Unaelewa unachoongea mzee?
Umeandika sana for someone who knows too little.
Taliban wapo on power Saiv Afghan unaskia kelele?
Hezbollah ni chama cha siasa chenye millitary wing na wala sio kikundi cha kigaidi.
Ukienda Lebanon ukaongea ujinga huo utapondwa mawe.
Hamas wanaweza fall kwenye hilo kundi la magaidi sio 100%.

Boko Haram
Al shabaab
Al qaeda.
ISIS.
Hawa ndio magaidi, msichanganye vitu wazee.
Hao wote pamoja na communism unayo support, wote ni magaidi.
 
Bwana wewe!
kiufupi uisilam ni dini ya hovyo kutokea hapa duniani.
Waislam wameleta maafa mkubwa sana.

Imagine hawa jamaa suala la kichinja tu linaweza kuamusha vita na hapo mfugo ni wako. Wanajiona wao ni wakipekee sana.

Nadhani hakuna watu wenye roho mbaya na katili kama warabu hapa Duniani. Kwa mantiki hiyo ndiyo wenye dini ya kislam.

Ukristo ni dini yenye amani japo inamapingufu yake pia sio kama hawa waislam kwenye suala la AMANI ni hopeless na Nonsense kabisa.

Kwetu hapa naona Islam ni wazuri kwenye kuoa na kuzika hawana complication. Chapu na haraka

Bwana wewe!
kiufupi uisilam ni dini ya hovyo kutokea hapa duniani.
Waislam wameleta maafa mkubwa sana.

Imagine hawa jamaa suala la kichinja tu linaweza kuamusha vita na hapo mfugo ni wako. Wanajiona wao ni wakipekee sana.

Nadhani hakuna watu wenye roho mbaya na katili kama warabu hapa Duniani. Kwa mantiki hiyo ndiyo wenye dini ya kislam.

Ukristo ni dini yenye amani japo inamapingufu yake pia sio kama hawa waislam kwenye suala la AMANI ni hopeless na Nonsense kabisa.

Kwetu hapa naona Islam ni wazuri kwenye kuoa na kuzika hawana complication. Chapu na haraka
Pumbavu kweli
wewe
kafir takataka wa hovyo kuwahi kutokea
 
Mujahedeen (Taliban)
Hezbollah
Hamas
Al-Qaeda
Al shabab
Boko Haram
I.S.I.S

Hawa ni radical islamist groups ambazo zimeleta maafa hapa duniani kwa kisingizio cha kutafuta haki.

Iran
Palestine
Labanon
Iraq
Yemen

Hizi ni baadhi ya nchi ambazo uislam wa itikadi kali umeleta athari kwa wananchi. Hakuna freedom of expression wala press, hakuna freedom of worship, kazi yao niku-fund terrorism and killings of innocent citizens ambao hawafati sheria zao kali.

Wanafundishwa kuwa adui yao ni mkristo, muyahudi na mmarekani, na kwamba ukimuumiza yoyote aliye wa aina hiyo basi utawekwa katika hadhi za juu za peponi.

Wanafundisha and kupandikiza chuki vijana wao ili kizazi cha hila na vinyongo kiendelee na ugaidi usiishe duniani.

Mwenye akili ambayo haina majini ya kupandikizwa chuki ataelewa.

Ambao mnatetea radical islamists kumbukeni waliyoyafanya ubalozi wa marekani 1998, usiombe yakukute, upuuzi wako utaisha.

View: https://youtu.be/NmNOc9ZwgDI?si=tF9P4bNHRWqz6U-2

Kuna kitu hatari duniani hapa UKRISTO??

UKRISTO ni ushetani UKRISTO ni cancer,madhila yote haya dunia inayopitia leo hii chanzo na sababu ni UKRISTO
 
Back
Top Bottom