dU!
Laana ya Dunia hii!
Mwambie Mumeo..huwezi kaa na jambo kama hilo peke yako...yeye ndo atajua jinsi ya kumwondoa baba yake...
Lakini hakikisha umebakiza ushahidi wa kutosha juu ya tuhuma hizo nzito, maana vinginevyo utaonekana umemchoka baba mkwe na unataka aondoke tu, na hii inaweza kuteteresha mahusiano ya nyumba yenu!
Du! tumia akili kumuondoa huyo binti. Maana babamkwe anaweza kugeuka mwiba katika ndoa yako. Bila shaka unazijua tabia za mumeo na atakavyokuchukulia ukimweleza hili. Kama litavuruga mahusiano usimshirikishe, mtoe binti kwa sababu nyingine, hii ihifadhi moyoni.
wazo zuri Mkuu, naunga mkono ushauri huuMuondoe huyo binti haraka,huenda au kishatembea na mme wako!pia ni uchafu ktk nyumba
dU!
Laana ya Dunia hii!
Mwambie Mumeo..huwezi kaa na jambo kama hilo peke yako...yeye ndo atajua jinsi ya kumwondoa baba yake...
Lakini hakikisha umebakiza ushahidi wa kutosha juu ya tuhuma hizo nzito, maana vinginevyo utaonekana umemchoka baba mkwe na unataka aondoke tu, na hii inaweza kuteteresha mahusiano ya nyumba yenu!
Du! tumia akili kumuondoa huyo binti. Maana babamkwe anaweza kugeuka mwiba katika ndoa yako. Bila shaka unazijua tabia za mumeo na atakavyokuchukulia ukimweleza hili. Kama litavuruga mahusiano usimshirikishe, mtoe binti kwa sababu nyingine, hii ihifadhi moyoni.
Habari wana JF,
Ni mara yangu ya kwanza ktk jukwaa hili jamani, nipeni ushauri katika hili.
Nimeolewa na nina mtoto mmoja. Baba mkwe wangu alikuja kwetu kwa ajili ya kutibiwa toka mwaka jana. Ni mtu mzima kwa kweli takribani miaka 70. Kiukweli keshapona kabisa, na mkewe yuko kijijini. Nina msichana wa kazi ambae ni ndugu yangu, ana miaka 16 (undugu wa mbali).Juzi asubuhi kabla sijaenda job niliingia rum kwa dada na kukuta AMELALA NA BABAMKWE wangu full naked! Kwa vile walikuwa wamelala fofofo (mida kama ya 11 asubuhi) hawakunisikia. Nilirudishia tu mlango na kuondoka. Hadi sasa sijamuuliza yule ndugu yangu na wala mume wangu sijamwambia. Naona aibu hata kuwashirikisha watu wanaomfahamu huyu baba. Ebu nisaidieni jamani, nikae kimya au nifanyeje? Baba haoneshi hata dalili ya kurudi kijijini ingawa keshapona.
Nipeni ushauri wenu waungwana.
Kwanza mtume mume wako akachukue kitu huko chumbani wakati ukijua babamkwe na huyo binti wako mzigoni. Apate ushahidi kamili....Alafu inaelekea na wewe hujatulia hebu jieshimu na ubadilishe avatar yako!
Hilo pia ninaliwaza sana, baba anaweza kunigeuzia kibao nikaona dunia chun. Kumuondoa binti naweza ila I have mtoto mdogo, 1 year na yeye ndo nikiwa job anamtunza mtoto, kumpata mwingine itachukua muda kidogo. Niko njiapanda jamani, ningeweza kumkanya mdogo wangu but hope mnajua mapenzi yalivyo, she can tell him na ikawa tatizo kubwa zaidi. I wish uyu baba aende tu kwake, loh!
Habari wana JF,
Ni mara yangu ya kwanza ktk jukwaa hili jamani, nipeni ushauri katika hili.
Nimeolewa na nina mtoto mmoja. Baba mkwe wangu alikuja kwetu kwa ajili ya kutibiwa toka mwaka jana. Ni mtu mzima kwa kweli takribani miaka 70. Kiukweli keshapona kabisa, na mkewe yuko kijijini. Nina msichana wa kazi ambae ni ndugu yangu, ana miaka 16 (undugu wa mbali).Juzi asubuhi kabla sijaenda job niliingia rum kwa dada na kukuta AMELALA NA BABAMKWE wangu full naked! Kwa vile walikuwa wamelala fofofo (mida kama ya 11 asubuhi) hawakunisikia. Nilirudishia tu mlango na kuondoka. Hadi sasa sijamuuliza yule ndugu yangu na wala mume wangu sijamwambia. Naona aibu hata kuwashirikisha watu wanaomfahamu huyu baba. Ebu nisaidieni jamani, nikae kimya au nifanyeje? Baba haoneshi hata dalili ya kurudi kijijini ingawa keshapona.
Nipeni ushauri wenu waungwana.
aisee kutunza mtoto mdogo ni kazi kweli, usichukue haraka kumuondoa huyo binti,
Embu fikiria ushaujri wa aliyesema mlete mama mkwe aje then kama siku mbili tatu unawaandaa vizuri wanarudi kijijini lakini baada ya kushauriana na Mumeo siyo?. How do you see that?