Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Hahaha....
Mimi ni wewe na wewe ni mimi.
Ohoooo yea..baadhi c vyote nweza kuwa wew na wewe ukawa mimi


Hahaha....
Mimi ni wewe na wewe ni mimi.


Kama hupendi vizee kijana mondray yupo kwaajili yakoSipendi vizee![]()
Yalikuwa rahisi sana mfano nikikwambia niazime laki mbili faster hapo utanipa?Kwani siku zote yalikuwaje
ukiwa kwenye harakati zako nakuheshimu sanaNini wewe mtoto
watu wanavyokanwa
hawa wadada wa jamiiforum wamekaa kimbea mbea(kiswahili) jirekebisheni.



Kama hupendi vizee kijana mondray yupo kwaajili yako



Maziwa mengi nimeyaona likiwepo na hilo Tanganyika nilikuwa nafika maeneo yanaitwa kasangaJichange uje mkuu ufaidi maisha huku na kuogelea tanganyika beach. Hope hujawahi ona ziwa
Yaani mimi ndio nampendea hayo majibu...natamani aje kwa huku.Lol faiza ana majibu yake fulani hivi yakunyaaaa huwezi mdhania
Nitakupandisha kilimanjaro weweukiwa kwenye harakati zako nakuheshimu sanawatu wanavyokanwa
hivi Daby unajua ww n pressure maskini husna
Sawa kijana pambana yatarudi mahali pakeYalikuwa rahisi sana mfano nikikwambia niazime laki mbili faster hapo utanipa?
hahahhhNitakupandisha kilimanjaro wewe
Shoti zipi bibie. Hebu ziolozeshe hapa nizioneVigezo na mashart....karibu kama unapenda shotiii.![]()
Masharti mwambie maana kijana yupo hapo anasubiri kuambiwa mashartiVigezo na mashart....karibu kama unapenda shotiii.![]()
Ndo lile neno la mchungaji kuwambia wana ndoa mwili mmoja


Unaweza sema kwanini huniogopiNilikumention ku prove wrong ulichonidhania hujaona??
Mi sio wakule bana si kwa misifa mibaya ilojaa kwenye ule uzi namimi ukanijumuisha duhhhhhhhhhhh
Naanzaje kukuogopa kwa mfano!!?
Kati ya watu siwaogopi humu wewe namba moja
Nakuchana