Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
we si unanijua mm unaona ya kweli hayoHa haaaa shunie haya anayosema Miss Natafuta ni ya kweli?![]()
we si unanijua mm unaona ya kweli hayoHa haaaa shunie haya anayosema Miss Natafuta ni ya kweli?![]()
Nipo shouga, mie pia nakumiss jamani!!!Namshukuru m'mungu sijambo mwaya.
Nami pia nakupenda shoga yangu
Ila tumezidi kupishana hadi nakumisimo.
Hahah...Bora jinai LA mahondaw kuliko LA Mange kimambi...jina baya kama Dawa ya kaswende lol!
Mimi ya kwangu vipi? itakamata watoto wazuri humu MMU kweli?mahondaw avator yako ya sa hivi haivutii kabisa yani badilisha basi
Usijali mwaya tuko pamoja mumyNipo shouga, mie pia nakumiss jamani!!!
Si unajua jf ni pana, ila tukikutana kama hivi yapendeza
Yako upo kama una ugwaduMimi ya kwangu vipi? itakamata watoto wazuri humu MMU kweli?
Daah ila kweli kabisa bibie.
Nisaidie nipate mm
Love sana wewe mremboMbn nimeshaiona nyota yako jmn.
Ahsante bibie
We will be forever jf
Love you
























Sasa uweke avatar nzuri bwana mmI want u to knw oooo
I'll forever...lavu u
![]()
Sasa uweke avatar nzuri bwana mm
Huyo namuogopa
Yako upo kama una ugwadu


......na kweli hali yangu si nzuri sana!Badirisha aise nitafurahiNgoja sasa najiweka mimi na wewe.jiran samhn kidogo ni tupicha tu
Poa mamyUsijali mwaya tuko pamoja mumy
Uuululululululululululululululullulululu
Vigeregereeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mkapumzike sasa chumba kiko tayari
Love you sana ma beibyTunameremeta,tunameremeta
Ingenoga kama ingekua mm na wewe


