Nichagueni kuwa Rais wenu 2025 niwafanyie yafuatayo...

Tukishaapishwa ule mwezi wa 11,2025 jioni kutakua na Tafrija pale pale kwa siku zote😁😁😁
Kabisa mkuu. Kuonyesha sera zetu zinatekelezeka na tunaziishi tutahamasisha wageni waalikwa wote wavae watakavyotaka. Mwenye kimini sawa, mwenye dela sawa, mwenye suti sawa, mwenye kanzu sawa. Ila nitasisitiza zaidi vimini viwe vingi hasa wale wenye miguu mizuri wapige vimini vya hatari akiinama mambo yote hadharani, hahahaha.
 
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Hapo kwenye sherehe lazima nifike hata na kibali feki tu kuja fanya pajapection za kufa mtu! 🤣
✌️
 
Mtoa hoja umepata vote ya kwanza kutoka kwangu,nami nikichaguliwa kuwa Rais for a day kufikia saa 10am nitakuwa nimeshafutilia mbali katiba ya sasa,vunja bunge(ni upuuzi mtupu),unda wizara 15tu,suspect upo huru hadi mahakama iamue vinginevyo,majaji wote ni lazima wapeleke maombi ya kuwa majaji(sio kusubiri huruma za no 1)polisi wote kupewa mafunzo ya uraia(na ndio hao tu wenye uwezo wa to arrest)na yote yalitotolewa na mtoa hoja.kufikia saa 22:00 nitakabidhi nchi iliyo huru na kuheshimu haki za binadamu.
 
Mkuu wewe nitakuteua kuwa waziri mkuu wangu ili unisaidie kushikisha adabu watumishi vilaza. Tutafyekelea mbali mambo yote ya kipuuzi.
 
Thanks ILA hayo yatafanyika kisheria sio kimhemko na JUDICIARY itakuwa huru kabisa,na taasisi za kusaidia utawala bora zitaanzishwa na kuwa huru kama NEC,BUNGE,Human rights commission,na ndani ya jeshi la polisi nitaunda kisheria polisi wa kuhakikisha polisi wanatekekeza wajibu wao kisheria na mtu unapoona hukutendewa haki na polisi unakwenda kupeleka malalamiko yako kwao(IPAD)
 
Sawa mkuu. Kuna hoja yangu hapa inaongelea uhuru na haki. Uhuru na Haki itakuwa nguzo ya utawala wangu.
 
Hujagusia kabisa michezo, wakati inatoa ajira kwa watanzania?

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
Hivyo nilivyoviongelea ni vitu ambayo nitaanza navyo. Michezo sitaiacha nyuma maana michezo inachochea furaha na ari ya kazi. Usihofu mpiga kura wangu, rais wako mtarajiwa nipo smart sana. Kila angle yenye tija kwa taifa nitaipa kipaumbele.
 
Umeongelea uhuru wa mavazi ila upande wa uhuru wa faragha ujagusia ( mashoga)
 
Umeongelea uhuru wa mavazi ila upande wa uhuru wa faragha ujagusia ( mashoga)
Mashoga hapana aisee (mimi sio mleta mada)

Ila nasisitiza mashoga hapana mwanaume abaki kuwa mwanaume na mwanamke abaki kuwa mwanamke, tena mkuu mleta mada ukiwabeba hao wa kuitwa mashoga hupati KURA yangu

Ila yote hayo yakifanyiwa kazi hata na huyu aliyepo sa hv madarakani watu tutajiona tupo peponi
 
Back
Top Bottom