Naantombe Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,254
- 15,735
Watanzania ndo wanasababisha watu wajinyonge... kumsema mtu vibaya haipendezi... sasa akiacha hiyo kazi nani wakumpa nyingine? Zaidi waanze kumsema vibaya
Binti anapambana wanadiss,wanataka akajiuze labda...badala wamtie moyo...watanzania ni wehu sanaWatanzania ndo wanasababisha watu wajinyonge... kumsema mtu vibaya haipendezi... sasa akiacha hiyo kazi nani wakumpa nyingine? Zaidi waanze kumsema vibaya
Umemaliza👍Wabongo wengi tuna roho mbaya sana.
Hadi kabinti tunakaonea wivu kwa kazi yake ya ukondakta na kucheza na social media.
Huyo demu mjanja sana.. zama hizi ukicheza na social media vizuri unatajirika.
Kuna ajira mpya zama hizi inaitwa Social media influencer.. ina kipato kikubwa na haina jasho. Huyo demu social media itampa hela sana akiendelea kwa spidi hiyo.
Kina mwijaku sio wajinga kujitoa akili
Kina Hamisa Mobetto sio wajinga kujibrand kihuni.
Kinq kajala na mwanae sio wajinga
Mange kimambi sio mjinga mjinga.
Piere liquid alijibrand kwa ulevi tu. Akatrend na akapata ajira gsm anafanya kazi now. Bila social media gsm angemuonea wapi piere
Na anazo kama kumi hivi kabatini😂Naanza kutuambia anavaa suti Za 500,000
HajaongezaItakuwa kaongeza kdg me nakadirikia nywele 25000
Suti 280000-360000
Skudu makudubela ulifanyia kazi ule ushauri niliokupa?😂😂😂Wew Skudu kwaiyo Sisi new comers malimbukeni au sio
Sijamchek sijui nizame pm sema madem wa mtandaon sinaga muda nao na mwisho kabisa pesa zangu nazionea huruma na nazipenda piaSkudu makudubela ulifanyia kazi ule ushauri niliokupa?
Hutak kupasuka...Sijamchek sijui nizame pm sema madem wa mtandaon sinaga muda nao na mwisho kabisa pesa zangu nazionea huruma na nazipenda pia
Mapenzi gharama
tiffany
Acha kutag I'd za watuSijamchek sijui nizame pm sema madem wa mtandaon sinaga muda nao na mwisho kabisa pesa zangu nazionea huruma na nazipenda pia
Mapenzi gharama
tiffany
Nahisi izo level nishapita kuteketeza pesa kwa ajili ya utelezi nadhan mm mwendo nimeumaliza vita nimevishinda hayo mambo nimewaachia dam changa kama nyieHutak kupasuka...
SawaAcha kutag I'd za watu
😂😂UmekaliliIvi mshafanya mitihan ya sapu?
Umekalili

Kuna huyu demu wangu wa kichaga nice wa tilisho safari anaye trend mitandaoni kazi yake ukondakta kampuni ya tilisho safari tuache endorsement zake.
Sponsors wake na madeal mengine tuzingatie posho tu ya bus me nimewaambia wana kwamba huyu atakuwa halipwi juu ya 50,000/= na konda hata ajikute balozi kiasi gani konda hanaga mshahara ni posho tu na anayezingatiwa huwa ni dereva mshahara na posho ndo analipwa nyie wadau mnasemaje kwenye bus anapatiwa shingapi je ni zaidi ya laki kukizi mahitaji yake?
View attachment 2764304
Mara siku 30 anazokuwa barabarani ni ngapi hapo? Tena hiyo ni net maana haina cha makato wala nini... Bado hapo msosi ni free plus mizigo nk...Labda route ndefu za dar to iringa ,2 songea kdg zina maokoto ila chuga nauli 30000 lazima wajiongeze njiani ila official posho yake kila safari maximum 50000 si ndio
Watu wanapenda kuwapa wenzio stress... basi tu ili akwame mwenyewe wafurahiBinti anapambana wanadiss,wanataka akajiuze labda...badala wamtie moyo...watanzania ni wehu sana