Nice wa tilisho posho yake shilingi ngapi?

Nice wa tilisho posho yake shilingi ngapi?

Am just wondering MSHAMBA na LIMBUKENI ni yupi sasa
Achana nao sankara we mkongwe me napigaga stori na wana wa kitaa na wana wa jf ...nikianzisha mada nimeipima iende me sio limbukeni wala sio mshamba muulize DR SANTOS na Extrovert hao ndo wanajua kinachoendelea kuchilimuliwa.hatari sana bia ya Eagle
 
Achana nae mtoto wa chuo huyo me nimeaanza jf niko o level kacheki history yangu na mpaka naajiriwa niko account hii hii kwa hiyo nina mipaka nahieshimu na naijua na kuna stori naleta lengo kuchilimua hatuwezi kuwa serious muda wote si wengine tunakula bia daily mtuvumiliage tu
Ukipewa andazi na ndege JOHN unachagua nini....nachagua andazi

Unaona kila mtu umu yuko collage
 
Achana nao sankara we mkongwe me napigaga stori na wana wa kitaa na wana wa jf ...nikianzisha mada nimeipima iende me sio limbukeni wala sio mshamba muulize DR SANTOS na Extrovert hao ndo wanajua kinachoendelea kuchilimuliwa.hatari sana bia ya Eagle
Nakubali sana mkuu huku ndani ni kuchagua wana kadhaa was kwenda nao sawia wengine wanakua akili fupi
 
Duh fb wamekaponda sana wanaokutana nacho kumbe nyuma kame passed like a shadow af miguu kama sindano eti ila me sijapenda ill Diss nakaona kama ka wife material wife material ni kichwa tu sio mwili
 
Nakubali sana mkuu huku ndani ni kuchagua wana kadhaa was kwenda nao sawia wengine wanakua akili fupi
Wengine watoto wadogo wana stress sasa mimi nina kazi nimejenga kijumba nishaoa,nishaacha nishapata watoto nishajua michoro ya kazi niko mwaka wa nne.. leo hii nije kubishana na watoto wa chuo wasio na directions huo si ufala yote kwa yote kila mtu apambane na stress zake tu atakayenielewa aniielewe atakayeamua kunitolea machine ya mapenzi yake anitolee
 
Wengine watoto wadogo wana stress sasa mimi nina kazi nimejenga kijumba nishaoa nishapata watoto nishajua michoro leo hii nije kubishana na watoto wa chuo wasio na directions huo si ufala yote kwa yote kila mtu apambane na stress zake
Sahihi kabisa, kukaa kimya inakuepisha na mengi hususan kutukanana na watoto wako humu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom