Kuna huyu demu wangu wa kichaga nice wa tilisho safari anaye trend mitandaoni kazi yake ukondakta kampuni ya tilisho safari tuache endorsement zake.
Sponsors wake na madeal mengine tuzingatie posho tu ya bus me nimewaambia wana kwamba huyu atakuwa halipwi juu ya 50,000/= na konda hata ajikute balozi kiasi gani konda hanaga mshahara ni posho tu na anayezingatiwa huwa ni dereva mshahara na posho ndo analipwa nyie wadau mnasemaje kwenye bus anapatiwa shingapi je ni zaidi ya laki kukizi mahitaji yake?
View attachment 2764304