Nice wa tilisho posho yake shilingi ngapi?

Nice wa tilisho posho yake shilingi ngapi?

Sahihi kabisa, kukaa kimya inakuepisha na mengi hususan kutukanana na watoto wako humu
Mkuu huyu dogo sana hawez kuwa na mtoto wa kuingia jf amemaliza chuo 2019 na ajira kapata 2021 mama alivo ingia madarakan amepagwa huko Lindi

Huyo dogo ni wa singida nimecheza nae draft sana wakati yupo kwenye goli lake la kuuza mtumba wa nguo na viatu pale singida mjini mtaa wa karakana

Usifikir ni mkubwa wakati anapata ajira alikua hajaoa wala hakuwa na mtoto
 
Wabongo wengi tuna roho mbaya sana.

Hadi kabinti tunakaonea wivu kwa kazi yake ya ukondakta na kucheza na social media.

Huyo demu mjanja sana.. zama hizi ukicheza na social media vizuri unatajirika.

Kuna ajira mpya zama hizi inaitwa Social media influencer.. ina kipato kikubwa na haina jasho. Huyo demu social media itampa hela sana akiendelea kwa spidi hiyo.

Kina mwijaku sio wajinga kujitoa akili

Kina Hamisa Mobetto sio wajinga kujibrand kihuni.

Kinq kajala na mwanae sio wajinga

Mange kimambi sio mjinga mjinga.

Piere liquid alijibrand kwa ulevi tu. Akatrend na akapata ajira gsm anafanya kazi now. Bila social media gsm angemuonea wapi piere
Umefel bro
 
Sema dogo watu huwa wanamwandama sana facebook kisa eti hana matako makubwa, sijapenda kwa kweli. Bora hapa tunaweza kuwa tunaongea kwa kujenga.
Wabongo Wana roho mbaya sana.....ukikasikiliza kenyewe hakana shida maskini ya Mungu wala majigambo,kasema kabisa nimetoka familia ya chini, hivyo sikuweza kuendelea na shule,so inanibidi nipambane
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom