Julius Husseni
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 1,364
- 1,078
Ni yule wa Uholanzi mkuu?Wakuu nimetoka kuchati na girlfriend wangu amesema anakuja naomba msaada niazimwe Gari Mafuta nitatia kwa muda wa siku 5..
Bei tutaelewana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe 50 kwa siku nikupe toyota PremioWakuu nimetoka kuchati na girlfriend wangu amesema anakuja naomba msaada niazimwe Gari Mafuta nitatia kwa muda wa siku 5..
Bei tutaelewana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo wapi nikupe Nissan Murano yangu??Wakuu nimetoka kuchati na girlfriend wangu amesema anakuja naomba msaada niazimwe Gari Mafuta nitatia kwa muda wa siku 5..
Bei tutaelewana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata pikipiki tu siitakiLete buku nikupe baiskeli yangu, achana na gharama za magari.
Picha mkuuHarrier hutaki mkuu, nishakujazia full tank
Na gari nakupa bure kabisa, usirudishe
Sent using Jamii Forums mobile app
Andika vizuri unaharakia wapivijana wanaangamia kwa kukisa maarifa
Nina Toyota Cresida ( Taxi )Wakuu nimetoka kuchati na girlfriend wangu amesema anakuja naomba msaada niazimwe Gari Mafuta nitatia kwa muda wa siku 5..
Bei tutaelewana.
Sent using Jamii Forums mobile app