Sitaki kumuhukumu mwanamke wangu

Paul dybala

JF-Expert Member
Jul 30, 2023
304
1,096
Nimejifunza vitu vikubwa sana kwenye mahusiano yangu mimi na mpenzi wangu...kwanza tu nikiri mimi ni mshamba wa mapenzi kwa sababu haya mahusiano hayana hata mwezi ila kwata nilizopigishwa ni mpelampela mwendo wa guzi match ni hatari mpaka akili imekaa sawa.

Yaani aisee mwanamke ni kiumbe hatari sana ukimfuatilia sana muda wowote unakufa ...kwa sababu mda namuwaza nimeona Koo linawasha na kifua Kama kinaungua moto

Kwanza kubabeki nilivotuma nauli juzi Hadi Leo huyu manzi yupo eti kwenye basi anasafiri tu....Mara hapatikani....ooohh Mara gari bovu limeharibika. Yani kiufupi kuanzia Jana mchana mpaka saizi sa tatu mtu haeleweki...ye ukipiga tu unaskia anasafiri.

Baada ya kummbana sana akasema eti alipitia kwanza Arusha wakuu mambo ni mengi Sana hapa hatakuyaongea ni aibu tupu.

Nilichojifunza kwanza huwezi kumzuia mwanamke kuliwa hii hata ungefanyaje ...kwa sababu Mimi ninahisia kaliwa na sina cha kufanya.

Pili, hakuna sababu ya moyo kuuma hadi presha inapanda sababu kwanza Sio mke wangu...sijulikani wala yeye hajulikani kwetu.

Tatu, mwanaume unatakiwa hata uwe na wanawake 10 ili isitokee milipuko ya moyo

Wanawake wazuri ni kwa ajili ya kuliwa tu nakupita hivi..nimeamka kuwa mpole tu kumuacha afanye anachofanya roho inauma Sana.

Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom