Niazimeni gari girlfriend wangu anakuja kunitembelea

Dogo njoo uchukue Mitsubishi colt apa Kimara 80000 kwa siku nakuwekea full tank Ila hamna kugegedana kwenye gari yangu
Gari moja naikubali sana hiyo. Bodi nzuri, machine kama haijachezewa ndo kabisaa...ukienda ndefu pakia hata kijimzigo cha kuzugia hapo nyuma.
Vipi ulikuwa Mitsubishi enhee?

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Hii ndio inaitwa kuchamba kwengi, mwisho lazima utayashika...tehteehh
 
Njoo chukua lkn bond unamuacha dem wako kwangu then we utaenda na gar yangu‍♂️


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom