kalemauji
JF-Expert Member
- Jun 24, 2014
- 1,440
- 1,397
Kuna FAO LA kutokuwa na ajira kuna kulipwa asilimia 33.3 kwa kipindi cha miezi 6 mfululizo au malipo ya mkupuo ya asilimia 50 kwa kile ulichokichangia, lkn malipo haya yatategemea na miezi yako ya uchangiaji.siku hizi wanalipa?? asilimia ngapi?? sio tena mpaka miaka 60
Kama ulichangia kuanzia miezi 18 na kuendelea na kazi uliyokuwa ukiifanya ni ya kitaaluma let say mhandisi, daktari, mhasibu, basi utakuwa ukilipwa asilimia 33.3 ya mshahara wako wa mwisho, na kama michango yako iko chini ya miezi 18 basi utapatiwa asilimia 50 kwa mkupuo kwa kile ulichokichangia.