Nianzeje kutafuta mke???

Nianzeje kutafuta mke???

Karl Marx

Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
13
Reaction score
0
Naombeni ushauri kwa wenye uzoefu. Nataka nianze kusaka jiko cjui pa kuanzia.....nielekeze lolote kuhusu hili tafadhal!!!!!
 
Tafuta la udongo maana la umeme ndio hivo tena luku mizinguo, la mkaa nalo mariyasili wanakaba had kivuri cha mti.
 
Humu JF kuna thread kibao za watu wanatafuta waume, "Double coincidence of wants".
 
Back
Top Bottom