Panctuality
JF-Expert Member
- Jun 11, 2019
- 1,153
- 1,730
- Thread starter
- #21
Tukifananisha teuzi za juu kutoka mamlaka za juu na Professional yoyote bado teuzi hizo ni bora sana. Ndio maana ma- engineer na ma- professor wanapigania ubunge ili wapate teuzi za uwaziri.Kuna watu kama Amos Makala ana CPA ambayo haina manufaaa yoyote kwake yeye mwenyewe wala kwa jamii