Ni ushamba tuHatari sana kuishi kwa mazoea.
Ibilisi mwekundu 🤣🤣Sawa atAchukua man u nadhan umeridhika jifariji bas
Nani kasema tunataka ubingwa?Msindikizaji Sana huyu dogo. Anasindikiza baadae wanachukua wengine.
Chelsea amepitwa points sawa na mechi alizochezaAsernal, man city, newcastle, Liverpool, man utd, Chelsea, Spur wote wana wananafasi kuligombea.
View attachment 2466960
Msimamo unaongea.
Lkn bado masiku na mzunguko
Dada ni Arsenal sio asernal.Asernal povu lakifa mtu
Come again??Asernal, man city, newcastle, Liverpool, man utd, Chelsea, Spur wote wana wananafasi kuligombea.
View attachment 2466960
Msimamo unaongea.
Lkn bado masiku na mzunguko