Niamini Mimi, kamwe huwezi kumlinda Mwanamke.

sasa wewe ulitaka wakukule wewe?mwache aliwe ndiyo kazi yake
 
Huwezi kumlinda binadamu yoyote
Kuna wanaume wanajinasi "" mimi mke wangu nina access nae 100% " kisa kamuwekea camera kwenye gari na simu. THEY'RE VERY WRONG
 
Yah nakuacha vp mwanaume km wewe.kitandani A,care A,tabia a,mwonekano A, unaniongoza vizuri mashaAllah......

Hii ni moja ya comment zake.
Kuna wanaume wanajinasi "" mimi mke wangu nina access nae 100% " kisa kamuwekea camera kwenye gari na simu. THEY'RE VERY WRONG
Nikiunganisha hizi comment inaonekana mwanaume mwenyew ndo wewe..plllz acha mke ya mtu uyo
 
Siku hizi kuwa na michepuko limekuwa jambo la kawaida sana. Kuwa na mchepuko kwa mwanamke kunaweza kusababishwa na vitu vingi sana kama:
Kupata pesa
Kulipiwa huduma mbalimbali
Kufikishwa kileleni
Mvuto wa mtu
Ajira na vyeo.

Mwanaume kuwa na mchepuko sababu ni moja tu TAMAA.

Sababu iliyonifanya niandike haya ni hii, eneo langu la kazi kuna Dada mmoja kaajiriwa 2018, mimi nilimkuta kazini hapo baada ya kuamishiwa eneo hilo. Taarifa iliyokuwepo ni kwamba Dada katongozwa karibu na staff nzima lakini hakuna aliyekubaliwa.

Kumbe yule Dada sio kwamba alikuwa hawataki ila walikuwa wakimtongoza kupitia simu yake ya kiganjani na pindi atowapo lift hali inayosababisha mumeo kuona kila kitu kinachoendelea.

Mumewe kamuhack mawasiliano yake na kumuwekea camera kwenye gari yake.

Kuna kidume kikaajiriwa mnamo mwezi wa saba 2018 binti nae akamuelewa. Kilichofuata ni kungonoka tu chooni na ofisini. Jamaa kumbe pia ni mtumiaji wa pombe Kali hali inayopelekea kutomsugua mkewe vizuri.

Demu akamwambia jamaa anunue simu ndogo (Nokia torch) na asajili kwa jina lake ili wawe wanawasiliana vizuri, siku hizi hadi nyumbani anaenda nayo ili kuwasiliana na jamaa mume akiwa hayupo.

Demu aambiwi chochote sasa hivi analiwa CHOONI,, OFISINI na HOTELINI pamoja na mumewe kujinadi kwamba amemdhibiti mkewe kwa 100% .

MWANAMKE AKIAMUA HUWEZI KUMLINDA HATA UWE MTAALAM WA IT.
Hata mwanaume halindwi akiamua....... ni kote kote....
 
Sio mwanamke tu hata mwanaume huwezi kumlinda,ni kuaminiana tu kunahitajika,kunatakiwa ka ulinzi kawepo kambaali,lakini sio kuwa kanasaidia kivile...
 
Siku hizi kuwa na michepuko limekuwa jambo la kawaida sana. Kuwa na mchepuko kwa mwanamke kunaweza kusababishwa na vitu vingi sana kama:
Kupata pesa
Kulipiwa huduma mbalimbali
Kufikishwa kileleni
Mvuto wa mtu
Ajira na vyeo.

Mwanaume kuwa na mchepuko sababu ni moja tu TAMAA.

Sababu iliyonifanya niandike haya ni hii, eneo langu la kazi kuna Dada mmoja kaajiriwa 2018, mimi nilimkuta kazini hapo baada ya kuamishiwa eneo hilo. Taarifa iliyokuwepo ni kwamba Dada katongozwa karibu na staff nzima lakini hakuna aliyekubaliwa.

Kumbe yule Dada sio kwamba alikuwa hawataki ila walikuwa wakimtongoza kupitia simu yake ya kiganjani na pindi atowapo lift hali inayosababisha mumeo kuona kila kitu kinachoendelea.

Mumewe kamuhack mawasiliano yake na kumuwekea camera kwenye gari yake.

Kuna kidume kikaajiriwa mnamo mwezi wa saba 2018 binti nae akamuelewa. Kilichofuata ni kungonoka tu chooni na ofisini. Jamaa kumbe pia ni mtumiaji wa pombe Kali hali inayopelekea kutomsugua mkewe vizuri.

Demu akamwambia jamaa anunue simu ndogo (Nokia torch) na asajili kwa jina lake ili wawe wanawasiliana vizuri, siku hizi hadi nyumbani anaenda nayo ili kuwasiliana na jamaa mume akiwa hayupo.

Demu aambiwi chochote sasa hivi analiwa CHOONI,, OFISINI na HOTELINI pamoja na mumewe kujinadi kwamba amemdhibiti mkewe kwa 100% .

MWANAMKE AKIAMUA HUWEZI KUMLINDA HATA UWE MTAALAM WA IT.

Hapo ofisini kwenu mtakuwa mnapata sana muda wa ziada yaani chooni ofisini na hotelini kote huko wewe unaona.

Yaani ukitafakari watu watatu wote mnamuda wa ziada wa kutosha hapo ofisini kwenu

Tanzania ya viwanda haiwezekani hivi karibuni labda baadae sana pengine hata ulimwengu mpya

Back to the topic si mwanamke Tu haiwezekani kumchunga a grown up individual ni ngumu sana karibu na kutokuwezekana omba Mungu mwenzi wako awe self-aware na determined yeye ni Nani na nini hatakiwi kufanya na nini anatakiwa kufanya
 
Kwa hali ya kibinadamu ukibanwa unashawishika tu ku kuchepuka.
 
Uache shughuli zako umlinde mtu mzima na akili zake
Labda kama huna kazi ya kufanya
 
Back
Top Bottom