Niambieni ni mtandao gani wa gharama nafuu kwa sasa, hii ya tigo kwasasa ni zaidi ya ukibaka.

Voda ukitaka unafuu wa dk tumia ile app ya Voda rahisi kununu na huna haja kuwa unauliza uliza salio ukifungua tu inakuonyesha masalio yako yote ni nzuri..
 
Voda ukitaka unafuu wa dk tumia ile app ya Voda rahisi kununu na huna haja kuwa unauliza uliza salio ukifungua tu inakuonyesha masalio yako yote ni nzuri..
Hata tigo app yao iko hivyo.
 
Hivi vyote ni vya wiki 1
Screenshot_20210202-135152.jpg
 
Hamjambo bila shaka.

Leo naingia nijiunge bundle la week nakuta vifurushi vimepunguzwa gb kwa 50℅
Gb 2 kwa week ambazo nilikuwa nazipata kwa 3000 now ni 5000 huku gb1 ndio 3000.
Napo hizo gb 2 nilikuwa natumia kwa kujibana sana. Aisee mbona sasa gharama za life zinazidi kwenda juu sana.
Embu niambieni ni mtandao gani kwa sasa ambao una unafuu kidogo.
Tuna vifurushi mbalimbali kulingana na mahitaji ya mteja, jiunge Tam tam plus kwa kupiga *150*71#
Karibu sana
 
Back
Top Bottom