Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 19,865
- 38,473
Hamjambo bila shaka.
Leo naingia nijiunge bundle la week nakuta vifurushi vimepunguzwa gb kwa 50℅
Gb 2 kwa week ambazo nilikuwa nazipata kwa 3000 now ni 5000 huku gb1 ndio 3000.
Napo hizo gb 2 nilikuwa natumia kwa kujibana sana. Aisee mbona sasa gharama za life zinazidi kwenda juu sana.
Embu niambieni ni mtandao gani kwa sasa ambao una unafuu kidogo.