Niambie kitakachonifurahi sametime kiniudhi.

Niambie kitakachonifurahi sametime kiniudhi.

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,370
Mke:Niambie mme wangu kitu ambacho kitanifurahisha na sametime kitaniudhi.
Mme:Una mapenzi matamu kuliko shoga zako.
 
Ndo Akome kuulizauliza.....teh angewataja na majina
 
asije akawa km yule jamaa alomkamata mabuttocks rafiki yake-m'me mwenzake jamaa akaruka kaadhibika kwa nn ashikwe mat**o rafiki mtu kamuomba msamaha 'samahani sn mi nilifkiri mkeo'
Baada ya kukera kazidi kukera
 
Hah ha ah ha ha ha ah ah ah ah ah ah ah ah ah ahaha h ahah hii kiboko
 
yan ww mmh........ amekomaje.
Q N A section enh, akome.
 
sipati picha baada ya jibu hilo nini kiliendelea.
 
Back
Top Bottom