Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,878
- 47,556
Tunapita Gaborone, Nata,Mahalapye,Pahalapye mpaka Kazungura huwezi kupita Zimbabwe kama unakuja unaendesha kutoka SA wanataka rushwa sana na wana Road block nyingi..gari nzuri nunua Auction Nation kwa gari ndogo..Vipi kuhusu usafirishaji wa gari toka Sauz Hali ipoje barabarani? Zimbabwe walivyo na Njaa si itakua jau Sana hiyo route?
Poa. Upo South mkuuWewe jamaa kukosea kwako unadhani wote tunakosea aisee magari tunanunua yanakuwa na mileage ndogo sana unanununa gari ina hizo Mileage kabisaa hizo ntanunua labda kwenye Scania sio gari ndogo...
Nipo Tanzania wiki ijayo tukijaaliwa ntakua SA kuchagua gari za kuleta...ukitaka gari njoo SA upelekwe machimbo sahihiPoa. Upo South mkuu
Nilikua napita bara bara fupi sana Beitbridge, Bulawayo,Masvigo mpaka Chirundu hii bara bara ni fupi sana kuliko kuzunguka Harare ila shida ni Polisi wao ni wasumbufu sana sana...wakitoka polisi wa bara barani wa Zimbabwe ndio wanafata Watanzania unaweza kutoka Tunduma mpaka Mbeya umesimamishwa mara zaidi ya mara tano na wazipenda sana namba za Nje..Vipi kuhusu usafirishaji wa gari toka Sauz Hali ipoje barabarani? Zimbabwe walivyo na Njaa si itakua jau Sana hiyo route?
Hivi siwezi ifanyia usajiri mpakani ikaingia na plate za bongo ili hawa viwavi jeshi wasinisumbue?Nilikua napita bara bara fupi sana Beitbridge, Bulawayo,Masvigo mpaka Chirundu hii bara bara ni fupi sana kuliko kuzunguka Harare ila shida ni Polisi wao ni wasumbufu sana sana...wakitoka polisi wa bars barani wa Zimbabwe ndio wanafata Watanzania unaweza kutoka Tunduma mpaka Mbeya umesimamishwa mara zaidi ya mara tano na wazipenda sana namba za Nje..
Unasajiri mkuu unalipia mpakani wengi wanaacha namba za Nje huku wamelipia tayari..Hivi siwezi ifanyia usajiri mpakani ikaingia na plate za bongo ili hawa viwavi jeshi wasinisumbue?
Aah so mpakani wanakuwa na ofisi za TRA ambazo naweza kumaliza kila kitu nikaja na gari imeshasajiriwa kasoro vibao tu vya plate number? [emoji848]Unasajiri mkuu unalipia mpakani wengi wanaacha namba za Nje huku wamelipia tayari..
Xtrail ya mwaka 2013/14 mpaka mkononi ya kutoka South Africa unapata kwa 36m mpaka 38m
TRA wapo bro hata vibao unapata ni wewe tu toka enzi za Mzee Jakaya...Aah so mpakani wanakuwa na ofisi za TRA ambazo naweza kumaliza kila kitu nikaja na gari imeshasajiriwa kasoro vibao tu vya plate number? [emoji848]
je akichukulia Japan ataokoa gharama au ataongeza?Xtrail ya mwaka 2013/14 mpaka mkononi ya kutoka South Africa unapata kwa 36m mpaka 38m
Kumbe wanakuwa wameshaviandaa tayari? [emoji848]TRA wapo bro hata vibao unapata ni wewe tu toka enzi za Mzee Jakaya...
South Africa ndio ataokoa gharama ya kusafirisha na muda wa kufika gari ni ndani ya siku 7 mpk 10 ipo mkononije akichukulia Japan ataokoa gharama au ataongeza?
South Africa ndio ataokoa gharama ya kusafirisha na muda wa kufika gari ni ndani ya siku 7 mpk 10 ipo mkononi
Sasa kwanini watu wanapenda kuagiza gari Japan? Vipi ubora wa Gari za SA na JAPAN?South Africa ndio ataokoa gharama ya kusafirisha na muda wa kufika gari ni ndani ya siku 7 mpk 10 ipo mkononi
Hiyo ya bei hiyo kwa south Africa unapata zero milage kabisa au ambayo haijatembea hata km10,000 mzee. Tofauti yake ni ubora wa gari.Kwa bei za 36m - 38m kwa model za 2013/14 sioni kama zinatofauti na kuagiza Japan. Labda utakachookoa ni muda na labda kama ubora ni tofauti.
Mazoea na miundombinu. Japan miaka ya nyuma hapo watu hata hawakuwa wakijua kuwa wanaweza agiza magari huko ila hivi sasa baada ya teknolojia kukua na sheria na taratibu za kibiashara kukaa kwenye mstari ndio unaona kuna idadi kubwa ya makampuni na mawakala na madalali wakileta gari huko.Sasa kwanini watu wanapenda kuagiza gari Japan? Vipi ubora wa Gari za SA na JAPAN?
UkraineWakuu nahitaji 2011 Nissan Xtrail ukubwa wa Engine uwe kati ya 2 mpaka 2.5 cc. Niagize wapi Kati ya Japan na Afrika Kusini?
Unapandishaje gari meli kutokea South Africa mzee?
0km SA yenye deef 2.8 kwa pesa ya Tsh ni kiasi Gani?,,kabla haijasafirishwa?kwenye Scania sio gari ndogo...
Cheki na Scania South Africa.co.za maana bei inabadilika kila mara kutokana na kubadilika kwa USD..0km SA yenye deef 2.8 kwa pesa ya Tsh ni kiasi Gani?,,kabla haijasafirishwa?View attachment 2980448