Hamna kitu kama icho warabu wanatuchukulia sisi wa Africa kama watumwa sasa mtumwa awezi kugusa mali ya mtwana hata kidogo na ukionekana una mbughuzi mwanamke faini yake huku ni zaidi ya 3 million ya papo kwa hapo harafu ndio wanaangalia uzito wa kosa kama wakufunge au wakurudishe kwenu...!