Goliath mfalamagoha
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 602
- 2,505
KANUNI KTK KUMTAMBUA MWIZI:
Kama kweli ACCACIA ni wezi basi tujadili:
1.ACCACIA ni mwizi...Principal offender.
2. Serikali na viongozi wake imesaini mkataba wa wizi...Accesory before the fact.
3. Serikali na CCM wameendelea kuwalinda, kuwatetea miaka yote wakati wapinzani wanakosoa wizi huo.....Accesory after the Fact.
4. Serikali imekutana na Wezi (Barrick, the holding company of Accacia). Badala ya kuwakamata na kuwafungulia mashtaka kama wezi.....Accesory after the fact.
UFAFANUZI:
1. Principal offender...ni Mtenda kosa (aliyeiba mali husika).
2. Accesory before the fact...ni yule anayehusika kumshawishi mtu mwingine kufanya kosa la jinai. Yaani kama Accacia ni wezi, basi aliyewaita kuja kuiba hapa ndiye Accesory before. Serikali iliwaita kwa jina la ustaarabu la "uwekezaji"...zaidi ikasaini mkataba huo wa wizi ili waibe kwa uhuru.
3. Accesory after the fact....ni mtu anayehusika kumhifadhi, kumtetea mtendaji wa kosa pamoja na mali zake za wizi.
Accessory after the fact anatoa ulinzi, huduma za kijamii, etc.
ADHABU KTK MAKUNDI HAYA KISHERIA
Kwa sheria za jinai hapa nchini pamoja na duniani kote, wote hupewa adhabu moja.
Yaani aliyeshawishi mwingine kuiba, aliyepokea ushauri na kuiba, na aliyemhifadhi na kumlinda mwizi...wote huadhibiwa kwa kosa la wizi. WOTE NI WEZI.
ASILI YA ADHABU HIZI ni BIBLIA na MUNGU mwenyewe na ilianza kwenye BUSTANI YA EDEN ambapo Mungu alimhuku mshaiwishi wa kutenda kosa, na mkosaji wote adhabu moja.
Yaani...
1.EVA (principal offender) waliokula tunda ambalo lilikatazwa kuliwa.
2. NYOKA (accessory before the fact) ambaye alimshawishi Eva kuchuma tunda na kula.
3. ADAM (accessory after the fact) aliyekula tunda baadaye na kutengeneza utetezi dhidi ya Mungu alipoulizwa sababu ya kula tunda.
ADHABU: wote walilaaniwa na Mungu.
MWANZO 3:1-13. BIBLE