Niache kumsaidia?

Mvune huyo dem acha uduwanzi, mtoto genye zimemzidi we unaleta usharo hapo. Itakuja kujutia hiyo chance uliyoipata hakika. Mwanafunzi my foot... kwani una micha shule au bin adam?
 
Haki ya Mungu walai! Watu 8 unapenda sana utani! Mwwe!
Napata picha y watu wengi wanakuitaga mtani!
Haya japo hujui kabila langu nami naanza kukuita MTANI!!!!
Wanaoniita watani ni watani zangu kimakabila...na ni kaka na dada zangu nje ya JF

Mtani nikimfundisha mada hizo si nitakula mzigo jamen!!!!
Afu muonja Asali haonji mara moja! Hahahahaaa!

Kwani riprodaksheni inafundisha namna ya kula mzigo?

Sisi tulifundishwa namna ya kutambua miili yetu, kujua namna hormones zinavyofanya kazi n.k
 
miaka 30 si haba...jitahd utafanikiwa
 

i wish i were Mashaxizo yaani basi tu..
 
Last edited by a moderator:
Kumbe anavaa nini msuri?

huwa anavaa kibukta ndio maana hali yake huwa si hali...kumbuka huwa anafuatwa nyumbani halafu mtoto wa kike anakuwa yupo ziro distensi huku akijilaza laza begani...

Ukimtizama jicho lake, manshallaaaah mtoto utazani kamumunya kungu la umangani, unaambiwa macho yamelegea kama kitundu cha kuvika kifungo...
 
Mashaxizo Mungu analeta neema kwa style mbalimbali hembu naomba namba yake nianze kumfundisha mimi huku chumbani kwangu,heri ya lawama kuliko fedheha
 

kipukta pekani balaa tupu hapa..
 
Ha ha ha...

Anza kumfundisha topic ya Riprodaksheni, tena tumia kitabu cha Tropiko Baioloji kina picha nzuri kweli

bila shaka hawafundishani hesabu...wasingewaza ngono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…