Niachane naye au niendelee

Niachane naye au niendelee

julius mahinya

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
1,152
Reaction score
384
Poleni na majukumu ya hapa na pale toka juma tatu hadi leo ambapo tunajiandaa na mapumziko ya siku mbili muhimu katika wiki!
Ndugu zangu hiki ni kitu cha kweli ila ni kwa mara ya kwanza kwangu kukutana nacho! wiki moja iliyo pita nimekuwa nikijaribu bahati yangu kwa mdada mmoja hivi anayeingia ofisini kwake kikazi toka juma tatu hadi juma mosi! saa mbili hadi saa kumi na moja, nimekuwa muda wa ziada namuibukia ofisini kwake na kusisitiza ombi langu lakini hakatai wala kukubali zaidi ya kusema nimekuelewa, alikua na kipete cha urembo nilijaribu kumuomba akanipa, chochote nachomfanyia anarespond postive.
Jana nikamuomba mchezo alilia nikiwa ofisini kwake mimi na yeye hadi nikaingiwa na hofu! nilipo jaribu kuuliza kulikoni kadai alikuwa anaongea na Mungu wake ! nikamhoji hadi machozi akatabasamu na kucheka huku anaona aibu, nikauliza vipi mpango wangu oh, mpaka nipate jibu kwa Mungu wangu ntakwambia! sasa wadau ehm niambieni huyu mdada mnamfkiria ni mtu wa namna gani katika makundi ya wadada? Je mnanishauri kuendelea au niachane naye?
 
umewahi kuwa chizi? kama ujawahi base endelea kumfuatilia huyo binti, utapotea ghafla
 
Muulize Mungu wako atakujibu!
 
Duh...misredi ya mchana nouma!
Kikubwa sema na huyo Mungu wake kama unamuona hapo..
 
Hahaha mungu wa huyo dada nimempenda. Yaani kaombwa mzigo, akaanza kushandaraizi kuuliza kama atoe ama la? Ungeangusha kilio hapo hapo afu umuambie mungu alikujibu kuwa upewe yote. Kweli mungu si athumani hahaha.
 
ila umenichekesha ni kama mapenzi fulani ya watoto vile...........

umeonae! mapenzi hata kama mna miaka 75 mambo mengi ni ya kitoto! labda muwe mnatumiana yaani unatumiwa kutoa papuchi na mwenzio fedha ndio huo ukubwa unatumika maana demand zenu ni tofauti!
 
Dah, hivi kumbe zinaa nayo ni deal mpaka watu wanataka ushauri?
 
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/554067-niachane-naye-au-niendelee.html

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/547311-mrembo-wa-jf.html

https://www.jamiiforums.com/mahusia...-mabaya-kuwahi-kunipata-katika-mahusiano.html

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/522788-njia-panda-imenikuta.html

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/511949-nani-aolewe.html

Liar.jpg
 
Poleni na majukumu ya hapa na pale toka juma tatu hadi leo ambapo tunajiandaa na mapumziko ya siku mbili muhimu katika wiki!
Ndugu zangu hiki ni kitu cha kweli ila ni kwa mara ya kwanza kwangu kukutana nacho! wiki moja iliyo pita nimekuwa nikijaribu bahati yangu kwa mdada mmoja hivi anayeingia ofisini kwake kikazi toka juma tatu hadi juma mosi! saa mbili hadi saa kumi na moja, nimekuwa muda wa ziada namuibukia ofisini kwake na kusisitiza ombi langu lakini hakatai wala kukubali zaidi ya kusema nimekuelewa, alikua na kipete cha urembo nilijaribu kumuomba akanipa, chochote nachomfanyia anarespond postive.
Jana nikamuomba mchezo alilia nikiwa ofisini kwake mimi na yeye hadi nikaingiwa na hofu! nilipo jaribu kuuliza kulikoni kadai alikuwa anaongea na Mungu wake ! nikamhoji hadi machozi akatabasamu na kucheka huku anaona aibu, nikauliza vipi mpango wangu oh, mpaka nipate jibu kwa Mungu wangu ntakwambia! sasa wadau ehm niambieni huyu mdada mnamfkiria ni mtu wa namna gani katika makundi ya wadada? Je mnanishauri kuendelea au niachane naye?

Mkipata muda na Biblia nyote someni Mathayo Mtakatifu 5:27-28 wala hatapata tabu kuongea naye.
 
Msimtanie Mungu PLEASEEEEEEEE!!!!!!!!!!! Kama kukazana mkazane kimya kimya tu hamtakuwa wa kwanza wala wa mwisho!

Mi sio mtu safi wala nini ila huko mliko SIKO KABISAAAAAAAAA!
mwenyewe sijapenda kabisa kumuhusisha Mola katika hilo ila mwenzangu kulia na kuniambia alikuwa anawasiliana na Mungu wake ni mara ya kwanza kukutana nalo hilo!!!!
but wapo watu hupenda kusema ngoja tuone kama ni mpango wa Mungu utatimia hilo nilishasikia sana ila kulia nimeshituka sana yaani unge tuona na mikao yetu ungefikiria huwenda nilikuwa namjuma kapuya!!!!
 
Poleni na majukumu ya hapa na pale toka juma tatu hadi leo ambapo tunajiandaa na mapumziko ya siku mbili muhimu katika wiki!
Ndugu zangu hiki ni kitu cha kweli ila ni kwa mara ya kwanza kwangu kukutana nacho! wiki moja iliyo pita nimekuwa nikijaribu bahati yangu kwa mdada mmoja hivi anayeingia ofisini kwake kikazi toka juma tatu hadi juma mosi! saa mbili hadi saa kumi na moja, nimekuwa muda wa ziada namuibukia ofisini kwake na kusisitiza ombi langu lakini hakatai wala kukubali zaidi ya kusema nimekuelewa, alikua na kipete cha urembo nilijaribu kumuomba akanipa, chochote nachomfanyia anarespond postive.
Jana nikamuomba mchezo alilia nikiwa ofisini kwake mimi na yeye hadi nikaingiwa na hofu! nilipo jaribu kuuliza kulikoni kadai alikuwa anaongea na Mungu wake ! nikamhoji hadi machozi akatabasamu na kucheka huku anaona aibu, nikauliza vipi mpango wangu oh, mpaka nipate jibu kwa Mungu wangu ntakwambia! sasa wadau ehm niambieni huyu mdada mnamfkiria ni mtu wa namna gani katika makundi ya wadada? Je mnanishauri kuendelea au niachane naye?

Alikua analia sababu anakuonea huruma unataka kukanyaga miwaya
 
Leo siongei sana kuwa huru maana najua kwa nini na napenda usiniogope si kila siku najiandaa kupambana na foolish zipo siku napokea wazo kama hilo lako pia dada mwenyewe ni msukuma kama wewe so sioni shida kukuacha na uhuru wa mawazo najua thread hiyo ya pili nilikuweka pande zipi!
pole sana usiogope be free!!!!!!!
 
umeonae! mapenzi hata kama mna miaka 75 mambo mengi ni ya kitoto! labda muwe mnatumiana yaani unatumiwa kutoa papuchi na mwenzio fedha ndio huo ukubwa unatumika maana demand zenu ni tofauti!

yani nawashangaa wote wawili........,
 
Aisee mimi nasikia watu wanawasiliana na Mungu ila binafsi labda uwezo huo sikupewa!

mungu a.k.a miungu a.k.a majini................
anawasilina na makarishika huyo....asije akakubadilikia na kua ngamia utoke nduki uchi........
 
Back
Top Bottom