unajuwa imegundua kuwa mambo mengi ya mavazi tkinadada wanaiga toka nje,na hawa watu wa nje huvaa nguo zao kutokana na hali ya hewa ilivyo,sasa kwa mfano
1. inapofika kipindi cha baridi yaani pale barafu linapo anza kuanguka wao huvaa jinsi za kubana ili kuto ruhusu mwili kupoteza joto kiurahisi,na pia huvaa makoti mazito na kufia tuziitazo mzura kwa hapa bongo,yaani kipindi hicho cha baridi hata mikono na shingo huwa na mavazi yake
hata kipindi cha baridi utakuta chupi zao si nyepesi huwa ni nzito
2. kipindi cha joto hususani kina DADA ama WANAWAKE wao huvaa nguo nyepesi sana zisizobana ili kuruhusu hewa kuweza kupooza mwili na kunawengine wanatamani hata kutembea unchi hapo sasa utakuta hata chupi wanazo vaa ndani huwa zinabadilika kutoka na hali ya hewa
kwa kipindi cha joto chupi zao huwa ni za kuzuia ile sehemu ya haja ndogo tu, na mala nyingi hii hutokea pale mwanadada anapo kuwa ktk zile siku zao ili hiyo chupi imsaidie kushika ile pade na isiruhusu majambos kumwagika wakati akiwa ktk shughuri zake za kawaida.
kwa kweli hata ukienda dukani kwa lengo la kununua nguo,utakuta kila kitu kimebadilishwa nguo zinauzwa kulingana na hali ya hewa ya wakati huo
yaani kama ni baridi utakuta nguo za kuzuia baridi na kama ni joto utakuta nguo za kupambana na joto
na tunavyo ongelea joto ama baridi tunamaanisha,hali ya hewa hubarika na huwa ni tofauti na kama nyumbani bongo
Sasa basi wanawake wa Kiafrika na hata vijana wa kiume wa kiafrica hulazimika kuvaa mavazi hata kama hali ya hewa hairuhusu hufanya hivyo kutokana na mazingira tuliyo nayo.
kwahiyo nia yao ni njema tu,kuvaa kulingana na hali ya hewa,labda wanaume ndio tunawachukulia tofauti