Nia ya kupata mwenza inaniita

Nia ya kupata mwenza inaniita

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,969
Nimekuwa nikipingana sana na hii nia kila wakati kwa kuweka sababu kibao.

Lakini sasa nimeonelea niikubali tena kwa moyo mweupe. Unajua hiari yashinda utumwa.

Nimegundua kumbe marriage is not only about sex. Ni vitu vingi sana kwa pamoja.

Big up mliooa na mnapambana na changamoto za hapa na pale.

Ni hayo tu.
 
karibu kwenye chama la watu wazima

Aise na hitaji kweli niingie kwenye chama hilo. Usukumani hata ukiwa mzee kama hujaoa watakuita bwana mdogo na hauta heshimika.
 
umeona eeh, kwenye shughuli na misiba unawekwa kundi la vijana, unaweza ukachaguliwa kupika, kufuatilia viti, maji na vitu vingine, kama ni msibani nyie ndiyo wakutumwa kupeleka taarifa kwa ndugu sehemu za mbali, hata kama una mvi wakativijana walioowa wamejilaza chini ya kivuli wanasubiri kula nyama ya kiuno...teh teh!
 
Chama cha walala uchi kina changamoto si mchezo...!!
 
Wewe endelea tu kua single, ukiwa mzee ndo utaujua umuhimu wa ndoa
 
umeona eeh, kwenye shughuli na misiba unawekwa kundi la vijana, unaweza ukachaguliwa kupika, kufuatilia viti, maji na vitu vingine, kama ni msibani nyie ndiyo wakutumwa kupeleka taarifa kwa ndugu sehemu za mbali, hata kama una mvi wakativijana walioowa wamejilaza chini ya kivuli wanasubiri kula nyama ya kiuno...teh teh!

kwenye misiba utachimba sana kaburi, na kupeleka taarifa za misiba au sisi wakubwa tumekaa tu
 
Safiii sana..ni wachache sana wanaokubaliana na matokeo na mawazo kama hayo...
 
umeona eeh, kwenye shughuli na misiba unawekwa kundi la vijana, unaweza ukachaguliwa kupika, kufuatilia viti, maji na vitu vingine, kama ni msibani nyie ndiyo wakutumwa kupeleka taarifa kwa ndugu sehemu za mbali, hata kama una mvi wakativijana walioowa wamejilaza chini ya kivuli wanasubiri kula nyama ya kiuno...teh teh!
unakuta baada ya mazishi wazee wa nzengo wanaanza kutuma vijana, mbaya zaidi kama kijijini usafiri ni baiskeli, haijalishi ni mbali kiasi gani ila taarifa za msiba zifike!!!
 
Nimekuwa nikipingana sana na hii nia kila wakati kwa kuweka sababu kibao.

Lakini sasa nimeonelea niikubali tena kwa moyo mweupe. Unajua hiari yashinda utumwa.

Nimegundua kumbe marriage is not only about sex. Ni vitu vingi sana kwa pamoja.

Big up mliooa na mnapambana na changamoto za hapa na pale.

Ni hayo tu.

Mhhhhh ww nae
 
unakuta baada ya mazishi wazee wa nzengo wanaanza kutuma vijana, mbaya zaidi kama kijijini usafiri ni baiskeli, haijalishi ni mbali kiasi gani ila taarifa za msiba zifike!!!

na hauruhusiwi kukataa, ni amri...lol!
 
Back
Top Bottom