Ni zipi taratibu za kubadili kozi chuoni?

TAMUCHUNGU

Member
Joined
Oct 14, 2016
Posts
11
Reaction score
3
Habari wadau.
Hivi inawezekana kubadili coarse chuoni ukaenda coarse nyingine maana mimi nilimwachia mtu akanifanyia application then nikawa nimeenda JKT sasa nataka nikabadili nisome BAED badala ya BED ambayo ndo nimechaguliwa.

Anayejua taratibu zinakuwaga vipi anielekeze
 
Hizo taratibu utazijua ukishafika chuo. Hii inaitwa internal transfer, kila chuo kina utaratibu wake ingawa hautofautiani sana.
 
Habari wadau.
Hivi inawezekana kubadili coarse chuoni ukaenda coarse nyingine maana mimi nilimwachia mtu akanifanyia application then nikawa nimeenda JKT sasa nataka nikabadili nisome BAED badala ya BED ambayo ndo nimechaguliwa.

Anayejua taratibu zinakuwaga vipi anielekeze
Spelling error. Coarse.
 
Wanaweza kukukubalia mkuu, ukifika tu onana Admission Officer atakusaidia.
 
naomba msaada ndugu zangu wa jf, ukiwa unaenda kuhamia chuo flani kwa mujibu wa taratibu walizotoa TCU 2016-2017, mfano nimepangiwa SAUT-MWANZA kozi ya BAED alafu nataka nihamie ARDHI na pia nikahitaji kubadilisha kozi ambayo naitaka labda ni Economics na ninavigezo na hiyo kozi: SWALI LANGU KUBWA LIPO HAPA NITAANDIKA BARUA KWENDA KWA MKUU WA CHUO CHA ARDHI AU NITAANDIKA BARUA KWA MKUU WA IDARA YA ECONOMICS KATIKA CHUO CHA ARDHI KUOMBA KUHAMIA KATIKA CHUO CHAKE ENDAPO NITAANDIKA KWA MKUU WA CHUO AU NITAANDIKA KWA MKUU WA IDARA YA ECONOMICS KUHAMIA KATIKA SKULI YAKE, NAOMBENI MSAADA WENU KWA YEYOTE ANAEJUA UTARATIBU HUO AU KAMA KUNA MTU AMBAE TAYARI AMEFANYA HIVYO KATIKA CHUO CHOCHOTE NA MAJIBU ALIYOPATA KWA HICHO ALICHOKIFANYA
 
Chek sasa umavyotaka kujimix ..
 
Fika chuoni kwanza ndiyo uulize utaratibu hakuna shida yoyote watu hubadili kozi kama vipepeo
 
Back
Top Bottom